Dk Bana wa REDET/UDSM unashangaza!

Dk Bana wa REDET/UDSM unashangaza!

Hao waandishi wa habari nao kwanini wanamtafuta Bana kila wakati kusikia maoni yake?

Huyu mzee mie sioni utaalamu wake zaidi tu ya kujipendekezapendekeza tu kwa CCM.

Hapo kwenye red! Waandishi nao ni vimeo tu, ni wanasiasa na wana report kisiasa! Bana ni kada wa CCM na mchumia tumbo kama mchangiaji mmoja alivyosema lakini na waandishi wa habari hawako critical.
 
Huyu Bana asidhani tumesahau 1994 alipokamatwa na "scud" kwenye UE nusura wamdisco akaokplewa na Nshomile mwenzie ingawa alitemwa na Dept PS hatujui alirudije tena! Ama kweli TZ kila kitu kinawezekana
 
We Pasco, upo serious au just joking?

Vyovyote vile Bana ni disgrace kwa wasomi wetu wa juu kabisa. Ukimsikiliza sana Bana kwa makini unagundua kabisa kwamba kama hawa ndo wasomi wetu, basi kitu hakiko sawa katika mfumo wa elimu zetu za juu tunazozitoa kwa watoto wetu na kwa vizazi vyetu vijavyo. Hivi political theorists wanaotakiwa kuzalishwa pale Mlimani wanamtegemea Bana wa an opinion poll NGO ya REDET? Dr mtu mzima kabisa anajitamba na kupata credit kwa tule turesearch twa questionnaires kuwauliza watu kama Kikwete anakubalika au vipi halafu na nyie mnasema ni strategist wa maana?
zimmerman, niko very serious, zile opinion polls za REDET, zimefanya kazi nzuri ya 'trend setter' mwanzilishi sio Dr. Bana, mwanzilishi kashapewa shukrani zake kuteuliwa VC sasa ni zamu ya Bana nae atoke!.

Kama JK hakubaliki, uki set trend kuwa anakubali sana, hata wale wasiomkubali wana change mind na kumkubali! na uthibitisho ndio huo, amechaguliwa tena!.

Kwa vile kwa 2015 mtu wetu ni Lowassa, nawashauri wale kamati yake, mtumieni Dr. Banna kufanya reseach Watanzania wanamtaka nani awe rais ajaye?. Anafanya sampling Monduli kwa Lowassa, Igunga kwa Rostam na Kigoma kwa Serukamba. Then unakuja na matokea "Watanzania asilimia 99.9% wanamtaka Lowassa"!. Hapo unakuwa tayari ume set trend, hata wale waliokuwa hawamtaki wakishasikia ni 99.9 % watajihesabu kumbe wao ndio hiyo 00.1% then watajiona ni wastage, watamsupport Lowassa.
 
Umeshamsikia Lwaitama akichambua hoja. Ile ndio PhD ya ukweli kama ya Dr Slaa. Anachambua issue kwa hoja kiasi kwamba hata kam ulikuwa upande wa kumpinga unapata shida kujibu hoja zake. Huyu bana anaweza kujibu tu SITAKI ukiuliza kwa nini, atakwambia kwa sababu wanadanganya. Hasemi ni lipi walilodangaya na kwa nini wamedanganya na ukweli ni upi kwa vielelezo vyenye uwiano.
 
zimmerman, niko very serious, zile opinion polls za REDET, zimefanya kazi nzuri ya 'trend setter' mwanzilishi sio Dr. Bana, mwanzilishi kashapewa shukrani zake kuteuliwa VC sasa ni zamu ya Bana nae atoke!.

Kama JK hakubaliki, uki set trend kuwa anakubali sana, hata wale wasiomkubali wana change mind na kumkubali! na uthibitisho ndio huo, amechaguliwa tena!.

Kwa vile kwa 2015 mtu wetu ni Lowassa, nawashauri wale kamati yake, mtumieni Dr. Banna kufanya reseach Watanzania wanamtaka nani awe rais ajaye?. Anafanya sampling Monduli kwa Lowassa, Igunga kwa Rostam na Kigoma kwa Serukamba. Then unakuja na matokea "Watanzania asilimia 99.9% wanamtaka Lowassa"!. Hapo unakuwa tayari ume set trend, hata wale waliokuwa hawamtaki wakishasikia ni 99.9 % watajihesabu kumbe wao ndio hiyo 00.1% then watajiona ni wastage, watamsupport Lowassa.
Pasco hapa umeniacha sin mbavu kabisa!!!
 
Sasa huyo ndo mtaalamu wa maswala ya kisiasa Dr Banseni bana(ananikumbusha kemia nikimuona huyo mzee)
 
Kama ni hvyo kunatofaut gani kati ya Dk. Na konda wa ubungo-k/koo via moro road?
 
Bana kabanwa na kuwa mwenezaji wa kichinichini wa propaganda za magamba.
 
Huyo jamaa siku mkimsikia ameongea point, mnitafute niwape weekend treat, Matema Beach. All paid by me.

Dah,nimecheka sana mkuu,hakunaga point kutoka kwa Bana sijui wanafunzi wake anawafundisha vipi.
 
kina nani walimpitisha 'burner' kuwa mzungumzaji wa masuala ya kitaifa yanayohusiana na siasa? Si bora bashiru?
 
Mh!!! Nimekumbuka ile timu ambayo kikwete aliiandaa wakati viongozi wa CDM walipokwenda magogoni. Sijui katika timu ya akina Tyson na Celina Bana alikosaje?
Hakuna maoni yoyote ambayo Bana anaweza kutoa yakakinzana na hali halisi ilivyo ndani ya CCM. Ni sawa na kesi ya nyani kumpelekea ngedere.
 
kina nani walimpitisha 'burner' kuwa mzungumzaji wa masuala ya kitaifa yanayohusiana na siasa? Si bora bashiru?

Huyu Broda safi sana
,Yeye na Uchumi tu,hanaga umbea wa Wanasiasa Mukandara na Bananaz.Inafikaga point Nasikitika kufeli zama za Luhanga na kushindwa kuchaguliwa UDSM.Sasa hivi nimejiendeleza kidogo,lakini Sitamani tena kwenda Mlimani kwa sababu ya hawa wawili mapacha(Bana na Mukandara) nimeamua nikajiunge na MuM pale kwa afande Sele,maana hawa jamaa wamemaliza ladha yote ya Mlimani.Yaani Dr.halafu unadiskasi People badala ya Masuala(Maana suala hapa lilikuwa Posho na sio Sumaye na Urais).Eti ana wivu kwa sababu aliukosa urais,halafu alipitwa na Vasco da Gama?Anayezungumza Dr??Ama kweli JK na Doktorate yake sio bahati mbaya,zote zinafanana na wateule wake Bana na Mukanda.
 
Back
Top Bottom