Djimon confirms he and Kimora were never married

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Messages
35,814
Points
1,250

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2008
35,814 1,250
[h=3][/h]
In a statement regarding his break-up with Kimora Lee Simmons, Djimon Hounsou confirms the long standing rumours that he and Kimora never married...

Djimon's rep tells People Magazine exclusively,
"Djimon Hounsou and Kimora Lee Simmons have officially separated after 5½ years.Though never married, they have one child together, Kenzo Lee Hounsou, who is 3½ years old."​
 
Titans

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Messages
1,465
Points
2,000

Titans

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2010
1,465 2,000
huyu jamaa amechacha siku hizi ..demu amemfilisi kabisa yani..sijui waafrica tuna matatizo gani..hapo unakuta aliacha mke mzuri tu Africa...kimora amesepa koz mshkaji alosto..hajaecti movie nyingi mda mrefu..

but namkubali especially in THE GLADIATOR..."maximus..the roman soldier who became the gladiator and then fight with the Emperor "
 
mfianchi

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2009
Messages
9,404
Points
2,000

mfianchi

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2009
9,404 2,000
huyu jamaa amechacha siku hizi ..demu amemfilisi kabisa yani..sijui waafrica tuna matatizo gani..hapo unakuta aliacha mke mzuri tu Africa...kimora amesepa koz mshkaji alosto..hajaecti movie nyingi mda mrefu..

but namkubali especially in THE GLADIATOR..."maximus..the roman soldier who became the gladiator and then fight with the Emperor "
Miswahili inaona sifa kuoa ngozi nyeupe,halafu ikiolewa na wanawake ngozi nyeupe inaona sifaaa,lakini hizo ndoa hazikai ,huyu ni kama Seal nae katosa na kibibi chake amebaki kulialia tu
 
HARUFU

Platinum Member
Joined
Jan 21, 2014
Messages
28,008
Points
2,000

HARUFU

Platinum Member
Joined Jan 21, 2014
28,008 2,000
MadameX uliona mbali.

Na kweli LAMAR ODOM yamemtokea.

Bora TRISTAN THOMPSON hata likitokea la kutokea, KHLOE hana ujanja ameshazalishwa.

Au kama DJIMON angalau hajatoka patupu, kamzalisha KIMORA
 
Forum statistics

Threads 1,392,864
Members 528,738
Posts 34,120,391
Top