duhKesho Dj Mafuvu on #PB[emoji870]️[emoji870]️
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 890647
Mmmh sidhan kama angekua ni bora asingeanza kulia mitandaon angepiga kaz ya maana then anaondoka anasubiri sim moja ya Ruge kuja kazin mbali na hapo hiyo sio.kaz ya kusema kwamba bila mtu huyu kazi haendi maana udj hata Kibonde akifundishwa virtual Dj kesho unamkuta kakamata Tunetable au sio romyjonsYote Kwa Yote Jamaa Anajua Sana Na Kama Watampa Mkataba Naamin Atakua Ndie Dj Atakaeongoza Kulipwa Mshahara Mrefu Kuliko Dj Yoyote Hapo Redioni.
hongera Kijana Kwa Kuuchukulia Udj Kama Vile Kufua ChupiMmmh sidhan kama angekua ni bora asingeanza kulia mitandaon angepiga kaz ya maana then anaondoka anasubiri sim moja ya Ruge kuja kazin mbali na hapo hiyo sio.kaz ya kusema kwamba bila mtu huyu kazi haendi maana udj hata Kibonde akifundishwa virtual Dj kesho unamkuta kakamata Tunetable au sio romyjons
Tuliza mshonoo wewe, sasa hao Madj wako hata mikoani tunawaskia basi [emoji848][emoji848][emoji848]Ma dj wapo E.FM Radio nzima Ma-dj tu. Halafu wana ubunifu wa hali ya juu... Unaenda Magic unamkuta Dj Tass.. Unaenda Kiss fm unamkuta Dj jeff jerry na kipindi ingne unamkuta RFA.. Unaibuka E.afrka Radio Unamkuta dj summer na Dj dea na makkay... The best female ni dj MAMY wa E.fm tena Dj msomi wa kike ni hatari... Yaani hao mawingu sijawaskilza ma -dj wao tangu mwaka juzi niliona upupu mtupu *****
Halfu hbri za insta na coment zao msilete humu dadeq zenu
Mshono sinaTuliza mshonoo wewe, sasa hao Madj wako hata mikoani tunawaskia basi [emoji848][emoji848][emoji848]
Kama kweli anajua namsubilia cku atayopiga nyimbo ya Nanv kenzo na diamond ya katikaYote Kwa Yote Jamaa Anajua Sana Na Kama Watampa Mkataba Naamin Atakua Ndie Dj Atakaeongoza Kulipwa Mshahara Mrefu Kuliko Dj Yoyote Hapo Redioni.
Haya tuambie hizi redio changa zinazokuja kasi ya 5G.. yani hakunaMshono sina
Kuwaskia mkoani kvipi labda.. Kwenye Radio au?
Kama ni radio na haujawaskiliza wewe utakuwa umezoea umbeya wa Mawingu fm ambao niliuacha miaka ya majuzi
Kama ni mashoo Radio zingne ni changa ila zinakuja kwa kasi ya 5G wee
Hata hao ma-dj niliowataja sijui kama unawajua kwa kuwa umezoea umbea wa Mawingu fm.
Unamjua Rdj black, Rdj mamy, unajua jeffyjerry wewe, unamjua Djsummer unamjua Dj Dea?
Uwe unazungumza unachojuaHaya tuambie hizi redio changa zinazokuja kasi ya 5G.. yani hakuna
Sasa huyo dj Summer role model wake Dj Mafuvu, nahao wengine wote mtawasikia dar tu..