DJ D-ommy anamzidi nini DJ Zero?

Ma DJ wapo South Africa huko wakina DJ Athie, DJ Tira, DJ Mdix, DJ Bhepepe, DJ Catzico, DJ Vetkuk etc
 
Hao ni MaDJ wa nini sasa ama zile takataka wanazofanya kumix mix nyimbo??

Sasa kama wao ni MaDJ wakina David Guetta, na Dimitri Vegas, Timmy Trumpet Hardwell tuwaiteje.
Mi mwenyewe nimeshangaa DJ's hawana hata uwezo wa ku-produce wajaribu kuwaangalia Armin Van Buuren, Alan Walker, Robin Schulz, DJ Snake, Diplo etc
 
Ma-Dj nao wametofautiana. Unakuta kuna nyanja fulani, Dj fulani yupo vizuri zaidi. Yaan, kama mixing as whole, wengine scratching, wengine hamsha hamsha ya sauti kama fat man scoop...etc.

D Ommy ana "smart" mixing, kama za maeneo tulivu hivi. Kama dj flan hivi mzuri sana ila wa watu wastaarabu. Hata mimi nikitaka dj wa fasta akanimixie manyimbo rock/pop kwa watu weupe hivi, ntamshtua D Ommy. Ndo strength yake hapo.
Mpo sahihi pia katika connections. Ingawa zero ana-connection vile vile (I know).

Dj Zero yupo tofauti kwenye hapo tu. Otherwise, ni Dj talented sana overall. Sema siku hizi ukimsikia unaona kabisa kama ameshachoka; sio hawezi, bali yeye mwenyewe kama hata hakazi. Kama hataki tena hivi. Achukulii serious kiviile.

Mfano mwingine ni kama vile Scratch Designer alivyo mzuri zaidi kwenye (kama jina lake linavyosema) utundu wa kumix na mascratch ya kibabe. Siku nikiwa nna ma-vibe ya kusikiliza mavurugu ya ki-dj, scratch designer kwa mawazo yangu naona hana mpinzani.

Anyways, ni taste tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fantastic analysis broo,,
nimeelewa point zako sio
hawa wengine wako
OP alaf wana criticize tu,,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom