chaliifransisco


  1. princemikazo

    DJ D-ommy anamzidi nini DJ Zero?

    Home boy Omary Said aka DJ D-Ommy, Mr.Washawasha, The International DJ, Jitu nene kutoka Mjengoni Clouds FM the people's Station. Huyu chalii ana tuzo Mbili mkononi za kimataifa alizonyakua hadi sasa kama DJ bora barani Afrika. Pia amekuwa akiburudisha Nje ya nchi kama South Afrika, Marekani...
Top