DJ Choka Apata Mtoto Wa Kiume, Congrats!

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
Dj-Choka.jpg
Dj Choka

Well,leo ni one of the best days ever kwa Blogger pamoja na Dj maarufu wa bongo Flava na Hip Hop ya Kitanzania, Dj Choka, ambaye mapema leo, yeye na Baby mama wake wamejaaliwa mtoto wa kiume.
Kwa mujibu wa Tweet ambayo ameipost asubuhi hii, Choka ameelezea furaha yake na pongezi zake kwa baby mama wake ambaye amempatia toto dume.
DJ Choka @ChokaDJ
Thanks GOD baada ya kuzaliwa mtoto wa kiume mwenyewe katika familia yangu hatimaye mpenzi wangu amejifungua now mtoto wa KIUME.

 
So what?

Anatafuta baba wa ubatizo au?
kwikwikwikwi arifu acha hizo aisee....ana sosho netiweki kwa wapendwa wake.....sema jamaaa sijui kama kaoa huyo mtoto kampata nje ya ndoa....
 
Huyu jamaa anapenda unyamwezi wakati hata Tabora hajafika!


Ndilo tatizo la vijana wa kizazi kilicholaaniwa (fleva). Utakuta mtu si demu wala jamaa akishasikika kwenye redio mara moja anajiita celebrity na kujifanya hajuwi Kiswahili huku akiongea broken English kwa wiiiingi tena bila hata haibu.
 
foolish....mtu gani huyu wa kumuweka humu



Haya ndo masuala ya kulazimisha ama kutaka kujulikana. Mi ndo kwanza namsikia leo hapa JF, na kwa kuwa ni mtu wa bongo fleva basi usikute ni yeye mwenyewe ndo kajibandika humu kutafuta kujulikana.
 
Back
Top Bottom