DJ Choka Apata Mtoto Wa Kiume, Congrats!

HONGERA SANA!!DJ CHOKA hata mimi nakupongeza na na mwombea mtoto maisha mema na baraka za ALLAH,SUBAHANA WA TAHALAH,na namwomba na mimi anijaalie nipate watoto wanaume tu,eehe ALLAH,NI BARIKI NA MIMI KAMA ULIVYOMARIKI
KIUMBE WAKO DJ.CHOKA kama alivyopata mtoto wa kiume na mimi nipate watoto wanaume humzidishie baraka mtoto wake kama utakavyowazidishia wa kwangu,AMEEN!!
 
majitu mengine humu yana laana kila wakat yenyewe kukandia kila jambo. Cjui yenyewe yk perfect. Kama m2 humjui don't comment ucmhukumu m2 kwa sababu ya kazi yk. Dj Choka kalelewa kwenye maadili mema ya kikristo pale kanisa katoliki Sinza. Cjui kwann watu wana hii kasumba ya kuona wasanii wa bongo fleva wana tabia mbaya tu. Humjui pita limya au uliza.
 
wasichana bwana...unazaaje na jitu linalokaa kwao?

Kama iliingia bila kuplan angetoa?!

Halafu kukaa au kutokaa nyumbani sio hoja,
wapo wanaokaa kwao na wao ndio wanatake care familia nzima pamoja na wazazi, na wakati mwingine wazazi wanawasihi wasiondoke nyumbani mpaka watakapo oa.
Na wako pia wanaoishi wenyewe na wameishia kukataa watoto wao au hata hawajali wanaishije,na wengine wanavipato vikubwa na wanawake wamewakimbilia wakijua watakuwa salama wameishia kulizwa.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom