Dj Buraaa wa Wasafi kamwene, ushawahi kumsikia kaz zake ?Leta DJs wote bongo, ila ikija kwenye mixxin za Amapiano hakuna kama DJ Baffy.
Kifupi ndio DJ namba moja wa kutwanga amapiano.
Dondosha amapiano yako uliyoielewa baada ya kuisikia kwa Dj Baffy.