Umeheshimiwa.Labda nimefilisika kimawazo ila wasanii wa hip-hop wa kizazi hiki hua wahanikoshi kabisa coz ngoma nzima unakuta hakuna mistari ambayo inakuacha na tafakuri nzito tofauti na wale niliokua nawakubali zamani...
Mfano nikikiliza ngoma za Fid q jamaa Alikua anaandikia ngoma flani yenye misemo ambayo inakugusa kinyama.. we kasilikze tu Mwanza mwanza, ielewe mitaa, sumu, fid Q dot com Rudi Hadi Ni hayo tu au propaganda... Wasanii wa sikuhizi hawana ile mistari Ila Ni Visa vingi tu....
Mchukilie mtu Kama Langa jamaa walikua wanaandika Sana yaani anatoa neno linalobamba tz nzima mfano "matawi ya juu" au msikilize Langa kwenye ngoma ya HIP-HOP utampenda. Sikuhizi hip-hop imekua Kama taarabu...
Kiukweli hawanibambi...
Dizasta Ni msimuliaji mzuri lakini Kuna kitu anapungukiwa uandishi wake bado sana compare to malegend wa hip-hop...
Angalau kwenye ngoma ya kanisa alijitahidi
I'm so sorry Ni mtazamo wangu naomba uheshimiwe
Orthodox flow, and unorthodox flowNimesikiliza Hatia III jamaa anaenda off beat yaan hata Azma anamfunika mnamuover rate sana ndio maana hatoboi, wapi Kontawa? Hadi wamama wa kitaa wanaiimba Champion, mwambieni aendelee kukaza alafu anate na beat sio anatokatoka nje ya beat
Tafuta wimbo wa NF - STORY ingia YouTube ucheck utanielewa nazungumzia nini
Inategemeana u aposema Hip Hop ya siku hizi unakusudia wasanii ganiLabda nimefilisika kimawazo ila wasanii wa hip-hop wa kizazi hiki hua wahanikoshi kabisa coz ngoma nzima unakuta hakuna mistari ambayo inakuacha na tafakuri nzito tofauti na wale niliokua nawakubali zamani...
Mfano nikikiliza ngoma za Fid q jamaa Alikua anaandikia ngoma flani yenye misemo ambayo inakugusa kinyama.. we kasilikze tu Mwanza mwanza, ielewe mitaa, sumu, fid Q dot com Rudi Hadi Ni hayo tu au propaganda... Wasanii wa sikuhizi hawana ile mistari Ila Ni Visa vingi tu....
Mchukilie mtu Kama Langa jamaa walikua wanaandika Sana yaani anatoa neno linalobamba tz nzima mfano "matawi ya juu" au msikilize Langa kwenye ngoma ya HIP-HOP utampenda. Sikuhizi hip-hop imekua Kama taarabu...
Kiukweli hawanibambi...
Dizasta Ni msimuliaji mzuri lakini Kuna kitu anapungukiwa uandishi wake bado sana compare to malegend wa hip-hop...
Angalau kwenye ngoma ya kanisa alijitahidi
I'm so sorry Ni mtazamo wangu naomba uheshimiwe
Kwenye punchlines za kufikirisha hata hao malegend hawamfikii Dizasta. Ukimsikiliza kama hautoshi huwezi kumuelewa. Sema tu inatupasa kuwaheshimu kwa ulegend wao.Labda nimefilisika kimawazo ila wasanii wa hip-hop wa kizazi hiki hua wahanikoshi kabisa coz ngoma nzima unakuta hakuna mistari ambayo inakuacha na tafakuri nzito tofauti na wale niliokua nawakubali zamani...
Mfano nikikiliza ngoma za Fid q jamaa Alikua anaandikia ngoma flani yenye misemo ambayo inakugusa kinyama.. we kasilikze tu Mwanza mwanza, ielewe mitaa, sumu, fid Q dot com Rudi Hadi Ni hayo tu au propaganda... Wasanii wa sikuhizi hawana ile mistari Ila Ni Visa vingi tu....
Mchukilie mtu Kama Langa jamaa walikua wanaandika Sana yaani anatoa neno linalobamba tz nzima mfano "matawi ya juu" au msikilize Langa kwenye ngoma ya HIP-HOP utampenda. Sikuhizi hip-hop imekua Kama taarabu...
Kiukweli hawanibambi...
Dizasta Ni msimuliaji mzuri lakini Kuna kitu anapungukiwa uandishi wake bado sana compare to malegend wa hip-hop...
Angalau kwenye ngoma ya kanisa alijitahidi
I'm so sorry Ni mtazamo wangu naomba uheshimiwe
Weed haijawahi kua tatizo, tatizo ni wanaitumia watu wengine ambao hawakupaswa kuitumia.Nyimbo za wavuta bangi
Mkuu katika maisha huwezi kupendwa na kila mtu hilo linajulikana vizuri kabisa kwahiyo hatuwezi kushangaa unavokuja na cheap reasons ili kushusha uwezo wa Dizasta vinaNmekwambia Azma akiwekwa na Disasta mimi nampa Azma, sasa rapper mkali unaendaje off beat?
Pigo hizo kuna madogo walifukuzwa kwenye radio wanajifanya marapper wanapewa beat wanapuyanga, sikiliza hio Hatia III utanielewa nazungumzia nini yupo off beat kabisa alafu nyinyi ndio mnaoharibu wasanii kusifia hata visivyostahiri kusifiwa
Beat nmesikiliza ambapo hata mimi naweza kutembea nayo bila kutokatoka nje ya beat ndio maana nikasema akipewa Azma anamtosha kumkalisha kutembea na hio beat bila kutoka nje ya beat namaanisha kunata na beat sio beat inaenda kushoto wewe unaenda kulia, hapo sijamtaja Moko wa Miujiza, PMawenge, Stereo, NikiMbishi, FidQ, Songa, Zaiid, CJaMoka, Conboi, Raptcha, Wakazi, Troubado Joji, Maalim Nash Mcumeskliza nature ya hiyo beat? Umeskliza mtindo alioamua kuutumia katika hiyo beat?
Mzee nikwambie kitu kuhusu music industry nobody wants to disappoint anybody sababu watu wanaongea pale wanaponyimwa support kwa hio kuweka appreciation kwenye Insta yangu kua Disasta anafanya vyema simaanishi anafanya vyema kwenye kila kazi anayoitoa, elewa point nimesema jamaa kazi ya Hatia III kaiharibu ilibidi atembee na beat sijasema kwamba hana kazi nzuri alizowahi kuzitoa Ila hio Hatia III kaharibu simjui producer alietengeneza beat na kuproduce huo wimbo na kufanya mastering & mix Ila verse alipoingiza kabolonga yupo Off beatKwahiyo hawa wote hapa chini wao hawajui muziki ila wewe ndio fundi au sio?
Okay brother...!Beat nmesikiliza ambapo hata mimi naweza kutembea nayo bila kutokatoka nje ya beat ndio maana nikasema akipewa Azma anamtosha kumkalisha kutembea na hio beat bila kutoka nje ya beat namaanisha kunata na beat sio beat inaenda kushoto wewe unaenda kulia, hapo sijamtaja Moko wa Miujiza, PMawenge, Stereo, NikiMbishi, FidQ, Songa, Zaiid, CJaMoka, Conboi, Raptcha, Wakazi, Troubado Joji, Maalim Nash Mc
Mwambie atembee na beat km Bruno Mars mbon Msaga Sumu na Shoro Mwamba wananata na beat za Singeli, hio Hatia III angejua angefungia tu ndani kazidiwa hadi na Dulla Makabila, atembee na beat km anavyofanya Kontawa yaan anashindwa kujifunza kwa Mwana FA & AY, mwambie aende kwa Prof J ampe Darasa na Bill Nass
Yaan huyo rapper wenu hata Magazijuto hamfikii
Okay brother...!Mzee nikwambie kitu kuhusu music industry nobody wants to disappoint anybody sababu watu wanaongea pale wanaponyimwa support kwa hio kuweka appreciation kwenye Insta yangu kua Disasta anafanya vyema simaanishi anafanya vyema kwenye kila kazi anayoitoa, elewa point nimesema jamaa kazi ya Hatia III kaiharibu ilibidi atembee na beat sijasema kwamba hana kazi nzuri alizowahi kuzitoa Ila hio Hatia III kaharibu simjui producer alietengeneza beat na kuproduce huo wimbo na kufanya mastering & mix Ila verse alipoingiza kabolonga yupo Off beat
Ukiona mtu anakukosoa means ameona uwezo wako ni kiasi gan na unaweza kufanya nini na kufika wapi na anataka u-Push zaidi ili ung'ae sio unasifiwa kijingajinga na wewe ulivyo mjinga unalewa sifa wakati kazi zingine unatoa mbovu, ukitaka msanii uwake na uwike make sure haya makando kando ya kazi mbovu unayaacha ndani usitoe ngoma mbovu narudia tena usitowe kazi mbovu hata moja huku street watu wanaujua mziki kuliko unavyoujua wewe, sio unaimbaimba tu unaishia kuimbia wanao wa mtaani kwenu nyumba mbili tatu basi umenasa hapo,
Street people need content za maana na zenye kujenga unaimba na kucheza na unahifadhi ujumbe they need something new sio unatuimbiaimbia unaenda off beat alafu tunakuchekea kuna madogo wanakimbiza vibaya Ila hawana majina alafu wewe unatuimbiaimbia off beat, hivi mfano ukisikiliza wimbo Nash Mc - Kaka Suma unajisikiaje anaenda off beat?
Hio Hatia III imeniuma sababu producer katengeneza beat nzuri sana na yeye mistari ameandika mizuri Ila jamaa kwenye kuingiza vocal kaenda Off beat yaan beat inaenda huku na yeye anaenda huku, so sad
Mkuu katika maisha huwezi kupendwa na kila mtu hilo linajulikana vizuri kabisa kwahiyo hatuwezi kushangaa unavokuja na cheap reasons ili kushusha uwezo wa Dizasta vina
Katika sanaa yoyote ile kuna kitu kinaitwa ushabiki, mtu anaweza akawa na uwezo mkubwa sana ila tu wewe asikuvutie kuwa shabiki wake na wala sio dhambi ila at least heshimu uwezo wake
Zababu za kusema kuwa Dizasta vina anashindwa kunata na beat ni ujinga wa kiwango cha Lami, umeskliza nature ya hiyo beat? Umeskliza mtindo alioamua kuutumia katika hiyo beat? Au ilimradi tu nawewe umekuja kuandika ili tujue waga unaskilizaga hip-hop
Dizasta vina ndie msanii wa hip hop ambae anatumia beat ngumu kuliko msanii yoyote yule bongo, kaskilize beat zote za Hatia kuanzia 1-5 ndio utajua na hizo beat hakuna msanii wa ajabu ajabu anaweza kupita nazo lazima azitwist
Dizasta vina ndio msanii peke ambae yupo Underground stream mwenye nyimbo nyingi kuliko wasanii wote wa underground stream akiwemo Azma, Dizasta ndio msanii pekee ambae yupo Underground stream lakini ana nyimbo nyingi kuliko almost wasanii wote wa hip hop walio Mainstream
Na hiyo yote kwa sababu jamaa kuandika kwake halijawahi kuwa tatizo ata siku moja kama ilivo kwa MCs wengine wengi, kaskilize Album ya the verteller ndio utajua kwanini Dizasta vina anakuwa high rated kama msanii Bora
With all due respect to Azma, ila Dizasta ni maji marefu sana kwa mshkaji, labda tu nikuulize Umewahi kuona Uzi ambao unamuongelea Azma? Kama hapana unahisi ni kwa sababu gani? Na je umeona nyuzi ngapi humu zinaongelea uwezo wa Dizasta vina kama jibu ni ndio je unahisi kwanini?
Katafute msanii yoyote mkubwa wa hip-hop bongo muulize wasanii wake 5-10 Bora wa hip-hop Kwa sasa Bongo asipomtaja Dizasta vina njoo na uthibitisho nikupe 50k
Kwahiyo hawa wote hapa chini wao hawajui muziki ila wewe ndio fundi au sio?View attachment 2476038View attachment 2476040View attachment 2476041View attachment 2476042View attachment 2476043
Labda nimefilisika kimawazo ila wasanii wa hip-hop wa kizazi hiki hua wahanikoshi kabisa coz ngoma nzima unakuta hakuna mistari ambayo inakuacha na tafakuri nzito tofauti na wale niliokua nawakubali zamani...
Mfano nikikiliza ngoma za Fid q jamaa Alikua anaandikia ngoma flani yenye misemo ambayo inakugusa kinyama.. we kasilikze tu Mwanza mwanza, ielewe mitaa, sumu, fid Q dot com Rudi Hadi Ni hayo tu au propaganda... Wasanii wa sikuhizi hawana ile mistari Ila Ni Visa vingi tu....
Mchukilie mtu Kama Langa jamaa walikua wanaandika Sana yaani anatoa neno linalobamba tz nzima mfano "matawi ya juu" au msikilize Langa kwenye ngoma ya HIP-HOP utampenda. Sikuhizi hip-hop imekua Kama taarabu...
Kiukweli hawanibambi...
Dizasta Ni msimuliaji mzuri lakini Kuna kitu anapungukiwa uandishi wake bado sana compare to malegend wa hip-hop...
Angalau kwenye ngoma ya kanisa alijitahidi
I'm so sorry Ni mtazamo wangu naomba uheshimiwe
Dizasta atatia huruma, ujue P kachangamka alafu hachagui chagui maneno ili aonekane yupo deep/concious kama anavyofanya Dizasta.Nataka siku moja nione diss tracks kati ya P na Dizasta
Aisee itakuwa ni burudani sana
Weusi wangekuwa na contents walikuwa ni kundi lenye kuleta ushindani mkubwa sana kwa Kikosi Kazi.
Mi nilipenda sana ule msimu wa ma diss yani game linachangamka mizuka mingi mpaka unafurahi
Young killer sio up Coming artist kwa heshima yake hapo ungemuondoa umweke mwingine ambae anachipukia na unamfuatilia kwenye rapKwasasa watu ambao nawafatilia sana ni
1.Dizasta
2.young killer
3.G.H.A.F.L.A
4.Boshoo
5.Nacha
6.Toxic
Kwa PMawenge bwana Disasta bado hamfikii, nyimbo za story alizoandika P zinaelimisha, zinafunza na zina ujumbe mwingi, ukitaka kunielewa vizuri sikiliza PMawenge - Mama Mjane utanielewa namaanisha niniDizasta atatia huruma, ujue P kachangamka alafu hachagui chagui maneno ili aonekane yupo deep/concious kama anavyofanya Dizasta.
Wote nawakubali kwa lyrical ila P kwenye diss ni mtu mwingine kabisaDizasta atatia huruma, ujue P kachangamka alafu hachagui chagui maneno ili aonekane yupo deep/concious kama anavyofanya Dizasta.
P alisign na kile kipindi cha daladla kilichokuwa kinaendeshwa na kirobotoKwa PMawenge bwana Disasta bado hamfikii, nyimbo za story alizoandika P zinaelimisha, zinafunza na zina ujumbe mwingi, ukitaka kunielewa vizuri sikiliza P The Mc - Mama Mjane utanielewa namaanisha nini
Alafu pia nilimfuatilia kuna kipindi fulani cha TV alikua anaruka kipindi kikiwa kinaisha sasa hivi hakiruki tena hewani kilikua kinaonyeshwa Star Tv I think alikua anachana story yenye mpangilio wa beti na vina tu mwanzo mwisho sijakumbuka ni kipindi kipi, oi emu acheni kutumix
Mwambieni dogo Disasta akaze sana kwenye gemu msimleweshe misifa mnamuaribu,
Baba ukitaka mwanao apate 100% km akipata 99% mtie makonzi na mabanzi sana mwambie wewe ni mjinga wa mwisho umeshindaje kupata 100%? Next time dogo atakuja na 100%
Yes mkuu kipindi kilikua kimetulia sana nilipenda ile arrangement ya kipindi na segment ya P ndio nilikua naingojea sana kila nikicheck kipindiP alisign na kile kipindi cha daladla kilichokuwa kinaendeshwa na kiroboto
Ulivyokuja utawala wa Magu ulikuja kuondoa kile kipindi kutokana na ukosoaji wa wadau kuhusu serikali
P alikuwa kila wiki anaachia ngoma fupi ya 8 bars ikizidi basi 16 bars inayo dedicate mada itayojadiliwa siku hiyo.
Punchline Dizasta anazo chache sana huwezi kompare na hao niliowataja hata kidogo hawezi kabisa....Kwenye punchlines za kufikirisha hata hao malegend hawamfikii Dizasta. Ukimsikiliza kama hautoshi huwezi kumuelewa. Sema tu inatupasa kuwaheshimu kwa ulegend wao.