Diwani wa Kata ya Kimandolu, Arusha ni mzigo

Earthmover na wewe toka ulipofumaniwa pale Ziga.. umekimbilia wp?? Hatukuoni tena mtaani. Rudi umpiganie jamaa ako ngowi. Safari hii kapwaya
 
Last edited by a moderator:
Wana wa Kimandolu na JF kwa ujumla, Salaam.

Ama baada ya salaam naomba nijikite moja kwa moja kwa hoja yangu.

Diwani wa Kata ya Kimandolu (CHADEMA) Bw. Ngowi amekuwa kero na hakika tunajutia maamuzi yetu kumchagua mwaka juzi. Ana mihemko na anadaiwa madeni kila kona ya Kata. Amefikia mahali anamkashifu hadharani Mwenyekiti wetu wa chama wa Kata.

Amejijengea maadui wengi na wananchi wanamuona kama ni mjasiriamali wa siasa aliyekuja kwa siasa kwa maslahi yake binafsi.

Sisi wana wa Kimandolu tunakupa ujumbe huu kuwa safari yako ya kisiasa inaishia October hii. Rudi tu ukachunge kondoo wa bwana pale mlimani kwako.

Nawasilisha

Huna hoja kudaiwa siyo dhambi,vyema ungeandika huwa halipi madeni
 
kuna fununu anamsapoti yule mgombea wa nafasi ya ubunge kwa tiketi ya chadema, naona mshaanza kumvuruga na kuvurugana,
 
Wana wa Kimandolu na JF kwa ujumla, Salaam.

Ama baada ya salaam naomba nijikite moja kwa moja kwa hoja yangu.

Diwani wa Kata ya Kimandolu (CHADEMA) Bw. Ngowi amekuwa kero na hakika tunajutia maamuzi yetu kumchagua mwaka juzi. Ana mihemko na anadaiwa madeni kila kona ya Kata. Amefikia mahali anamkashifu hadharani Mwenyekiti wetu wa chama wa Kata.

Amejijengea maadui wengi na wananchi wanamuona kama ni mjasiriamali wa siasa aliyekuja kwa siasa kwa maslahi yake binafsi.

Sisi wana wa Kimandolu tunakupa ujumbe huu kuwa safari yako ya kisiasa inaishia October hii. Rudi tu ukachunge kondoo wa bwana pale mlimani kwako.

Nawasilisha

Naona umeingiza wivu wa kike,kwani ktk dunia hii nani hasiyekuwa na madeni?kajipange upya
 
Wana wa Kimandolu na JF kwa ujumla, Salaam.

Ama baada ya salaam naomba nijikite moja kwa moja kwa hoja yangu.

Diwani wa Kata ya Kimandolu (CHADEMA) Bw. Ngowi amekuwa kero na hakika tunajutia maamuzi yetu kumchagua mwaka juzi. Ana mihemko na anadaiwa madeni kila kona ya Kata. Amefikia mahali anamkashifu hadharani Mwenyekiti wetu wa chama wa Kata.

Amejijengea maadui wengi na wananchi wanamuona kama ni mjasiriamali wa siasa aliyekuja kwa siasa kwa maslahi yake binafsi.

Sisi wana wa Kimandolu tunakupa ujumbe huu kuwa safari yako ya kisiasa inaishia October hii. Rudi tu ukachunge kondoo wa bwana pale mlimani kwako.

Nawasilisha

Nenda kajiorodheshe kona bar nafasi zimebaki chache,kenge we
 
Mungi na DALLAI LAMA...
Naheshimu mawazo yenu. Mim sio mtia nia na wala sio gamba pia. ni mkazi wa kata hii na namjua vzr huyu diwani. msijitoe ufahamu.. tembeeni kuanzia kijenge chini mpk juu.. ulizeni wapiga kura khs huyu mtu.. ni aibu. anawashambulia watia nia wenzake kama vile yeye ana hati miliki ya udiwani. Hatoshi.. hatutampa kura.. tumeazimia.. tutawapima kwa vigezo mujarabu.

Semea moyo husiusemee moyo wa mwenzio
 
Last edited by a moderator:
Wana wa Kimandolu na JF kwa ujumla, Salaam.

Ama baada ya salaam naomba nijikite moja kwa moja kwa hoja yangu.

Diwani wa Kata ya Kimandolu (CHADEMA) Bw. Ngowi amekuwa kero na hakika tunajutia maamuzi yetu kumchagua mwaka juzi. Ana mihemko na anadaiwa madeni kila kona ya Kata. Amefikia mahali anamkashifu hadharani Mwenyekiti wetu wa chama wa Kata.

Amejijengea maadui wengi na wananchi wanamuona kama ni mjasiriamali wa siasa aliyekuja kwa siasa kwa maslahi yake binafsi.

Sisi wana wa Kimandolu tunakupa ujumbe huu kuwa safari yako ya kisiasa inaishia October hii. Rudi tu ukachunge kondoo wa bwana pale mlimani kwako.

Nawasilisha
Wewe acha kimbelembele Ngowi ni jembe acha uwongo na anakubalika na wananchi wote hana mpinzani kuanzia kule kwa kundayo, juu ya lami kimandolu, kimandolu yote, kijenge juu - chini, mwanama, suye na maeneo yote ya kata ya kimandolu wanamuelewa Ngowi.

Huwezi kufananisha uongozi wa Ngowi
Na Eddy au yule Mama aliepigwa chini na Ngowi wewe utakuwa Gamba tu sababu mitaa yote ya kimandolu imekamatwa na CHADEMA.
 
Mungi na DALLAI LAMA...
Naheshimu mawazo yenu. Mim sio mtia nia na wala sio gamba pia. ni mkazi wa kata hii na namjua vzr huyu diwani. msijitoe ufahamu.. tembeeni kuanzia kijenge chini mpk juu.. ulizeni wapiga kura khs huyu mtu.. ni aibu. anawashambulia watia nia wenzake kama vile yeye ana hati miliki ya udiwani. Hatoshi.. hatutampa kura.. tumeazimia.. tutawapima kwa vigezo mujarabu.

Ww unakatabia kakikabila we sema humpi siio useme watu wengine.
 
Last edited by a moderator:
Earthmover na wewe toka ulipofumaniwa pale Ziga.. umekimbilia wp?? Hatukuoni tena mtaani. Rudi umpiganie jamaa ako ngowi. Safari hii kapwaya
Ziga si Bar ya Eddy hivi pale penyewe kuna wateja kweli sababu amezungukwa na makamanda matangazo ya CHADEMA yalikuwa yanabandikwa mpaka kwenye counter ya Eddy diwani wa CCM naye anavumilia sababu anajua amezungukwa.

Huyo Eddy kipindi akiwa Mayor alijifanya kutia Nyumba za watu X kuanzia chocho ya mtoni lakini matokeo yake aliangukia pua mpaka anagongea nauli kwe Haice Magamba wanatakiwa wajipange Chugga.
 
Last edited by a moderator:
hao ni wale maccm ambao siku zote huwa wanajifanya CDM kwa vile haijiamini.
 
Back
Top Bottom