Diwani wa Kata ya Kimandolu, Arusha ni mzigo

kitu ambacho umesahau ni kuwa wengi wenye majina kama hilo la mwisho kuwa ni wajasiriamali wazuri pia. kwa hiyo usishangae sana kuwa kafuata masilahi baada ya kuona kuchunga kondoo hakulipi.

calculator
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni kada wa CCM, kwa kazi nzuri iliyotukuka ya Mch. Ngowi lazima ujutie kwanini upo CCM, heri ungekuwa CHADEMA ili usiumie maini...... Tuliwapiga kwenye uchaguzi mpaka Mwigulu akakosa njia, mara ya mwisho kabla matokeo hayajatangazwa tukasikia Mwigulu ameonekana KIA. Kata ya Kimandolu hata kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa hakuna hata mtaa moja ulioenda CCM, Mitaa yote CHADEMA walichukua, kazi nzuri ya Mch. Ngowi.

Post zinazodhihirisha wewe ni gamba hizi hapa na umemfuatilia Mch. Ngowi tokea 2013 kabla ya uchaguzi wa kata nne:

Mgombea udiwan wa CHADEMA kata ya Kimandolu

Hii hapa ya 2012:

CHADEMA Arusha wameanza kutoa mapovu

Post hizo hapo juu ni dhahiri upo Lumumba, na kwamba huna la kujutia kwakuwa kura yako hukumpigia Ngowi. Kengenyau wewe!

Mkuu Mungi. Naona jamaa hatakuja kuandika uboho wake tena. Aibu zake.
 
  • Thanks
Reactions: 999
So wewe unamkampenia nani hapo?

Yeyote kati yao ila sio Ngowi.. jamaa ni mpigaji, hana tena sifa ya kuwa diwani wetu. Nimepata hbr leo Alhamis tar 16 Julai wana kikao pale ofisi ya chadema kata ya kimandolu. tutakuja kumpa makavu yake laivu..
 
Ni ile ke ya pale club afriko, lastime ilipigwa chini mbaya na huyu Ngowi sasà naona bado inachechetuka ikisikia uchaguzi umekaribia

Wewe nakamilisha uchunguz flan khs hiyo kaz yako unayofanya. Ntakuanika hapa kabla ya jmosi na hutaamini. Usijitoe ufahamu kwa kujificha na ID za JF
 
Yeyote kati yao ila sio Ngowi.. jamaa ni mpigaji, hana tena sifa ya kuwa diwani wetu. Nimepata hbr leo Alhamis tar 16 Julai wana kikao pale ofisi ya chadema kata ya kimandolu. tutakuja kumpa makavu yake laivu..

Makavu yapi?
Mpigaji wa nini?
Unamdai, alikuibia au ?

Weka kila kitu hapa unachotaka kusema kuhusu huyo ngowi tukuelewe otherwise wewe ni mmojawapo wa watia nia sasà unaanza kumchafua huyu bwana kiaina.

Ushauri wa bure: Ukiwa gamba usipoteze muda Chuga.
 
Wewe nakamilisha uchunguz flan khs hiyo kaz yako unayofanya. Ntakuanika hapa kabla ya jmosi na hutaamini. Usijitoe ufahamu kwa kujificha na ID za JF

Wewe umejificha na ID za wapi?
Unahangaika Mtoto.
Kamvalie Ngowi kanga umfuate kwenye kikao baadae
 
Makavu yapi?
Mpigaji wa nini?
Unamdai, alikuibia au ?

Weka kila kitu hapa unachotaka kusema kuhusu huyo ngowi tukuelewe otherwise wewe ni mmojawapo wa watia nia sasà unaanza kumchafua huyu bwana kiaina.

Ushauri wa bure: Ukiwa gamba usipoteze muda Chuga.

Wee tuliza kalio sindano isivunjikie.. nimekwambia diwani wako hatoshi tena. Kama ww ni mfuatiliaji wa siasa za kimandolu utakuwa unaelewa hbr za huyu jamaa yako. Njoo kw kikao leo uskie vioja vyake..
 
Hatoshi kwa vipi?
Fafanua tafadhali otherwise hayo mambo ya kikao unayoniambia sijui unataka nije nikuone ulivyomfungia Ngowi kibwebwe?

Njoo pentagon saa kumi nikutulize kidogo coz naona una hasira sana
 
999 Hivi kwanza umeshamaliza noma yako na tanesco??
 
Last edited by a moderator:
999 Hivi kwanza umeshamaliza noma yako na tanesco??

Dogo usijenifananisha na watu wa mtaani kwako ukaanza kuwachukia bure.
Ukianza kunitafuta jf hutakaa unijue.

Rudi kwenye mada otherwise baadae Tanzanite nikupe supu ya mkia
 
Last edited by a moderator:
Dogo usijenifananisha na watu wa mtaani kwako ukaanza kuwachukia bure.
Ukianza kunitafuta jf hutakaa unijue.

Rudi kwenye mada otherwise baadae Tanzanite nikupe supu ya mkia

Mkuu usipoteze muda wako hili lipumbavu halielewi
 
  • Thanks
Reactions: 999
Sikuon sababu ya kuleta haya majungu hapa
Cha msingi mjipange na wnzako mmumuhukumu kwenye sanduku la kura Oct 2015
 
Si afadhali huyo kuli huku pwani tumlala usingizi na madiwani wetu hawjui kuhoji chochote zaidi kusema ndiyo mzee hata ka ni uchafu bora waonekane ni watiifu kwa wakubwa
 
Back
Top Bottom