Diwani wa CHADEMA kata ya Sinza ni mzigo

Diwani wa CHADEMA kata ya Sinza ni mzigo

Maadui wa Tanzania

1. Ujinga
2. Maradhi
3.Chadema

Mzigo siyo huyo diwani tu, chadema nzima ni janga ,hawazungumzii maendeleo ya nchi kabisa.
 
Programmer95 aka masenu k msuya.

Mleta mada ni mpumbavu na mvivu wa kufikiri kwa sababu hajui kuwa huyu diwani ana mpango wa kumuunga mkono rais.

Na sote tunajua wanaomuunga mkono rais ni wachapakazi
 
Huu Uteuzi mpya wa Wakuu wa Wilaya na Mikoa utangzwe mapema tu, maana Kuna sku.nk humu wanapata taabu Sana kujipendekeza!
 
Programmer95 aka masenu k msuya.

Mleta mada ni mpumbavu na mvivu wa kufikiri kwa sababu hajui kuwa huyu diwani ana mpango wa kumuunga mkono rais.

Na sote tunajua wanaomuunga mkono rais ni wachapakazi
Mkuu labda kachoka agenda ya chama ya kutofanya shughuli za maendeleo ili serikali ionekane haijafanya kitu akibadilika na kuchapa kazi tutampa sifa zake
 
Mkuu huwezi kumjua maana tangu alipochaguliwa hajawahi kuonekana wala kuitisha mkutano
Diwani wa Sinza anafanya kazi nzuri tu. Mimi ni mpiga kura wake; na mkazi wa sinza c kwa miaka zaidi ya 10.
We mpare unaongopa; na labda unavizia cheo huko kwenye chama cha wachawi hapo lumumba. Ila strategy uliyotumia ni hopeless.
 
Hivi akina Msuya wamekua lini wajinga hivi?? Labda wewe Sio Msuya ndugu yangu, Sina ndugu mjinga hivi. Hivi ulizaliwa Usangi kweli au jina la ujombani? Acha kudhalilisha Wapare!
 
Wewe unaishi sinza ya kakonko au ya kibara bunda?

Mbona wakazi wa sinza tupo poa tu na diwani wetu mchapakazi?
 
Samahani sana mkuu nilikosea sana kufanya mazungumzo na wewe,

Sina utaratibu wa ku-discuss agenda na watu wa dizaininyako

Misamehe
 
Attachments

  • 527F3142-A2A9-44B8-938C-C80E87306373.jpeg
    527F3142-A2A9-44B8-938C-C80E87306373.jpeg
    37 KB · Views: 30
  • B10CCFB3-8F9D-4929-B86E-79F6744DD322.png
    B10CCFB3-8F9D-4929-B86E-79F6744DD322.png
    80.9 KB · Views: 29
Habari wakuu
Wakazi wa sinza wanajuta na kujilaumu kwa kushabikia mabadiliko bila kujua mabadiliko gani wanayoyataka.Pia wanajuta kwa kumchagua diwani mzigo na muhuni wa chadema kwani tangu kuchafuliwa kwake hajawahi kuonekana wala kujihusisha na shughuli yoyote ya maendeleo wala kufanya kikao chochote na wananchi wala kutatua kero yoyote ya wananchi.

Kama chadema kata tu inawashinda kuendesha je mkikabidhiwa nchi itakuwaje kweli nimeamini maneno ya mwalimu kuwa ikulu ni mahala patakatifu sio mahala pa walanguzi hivyo cdm msipobadilika ikulu mtaisikia kwenye taarifa ya habari
badala ya kueleza nini mnataka unaaza uccm vs uchadema.
 
D

Diwani Jipu KATA imemshinda sasa anaishi MBEZI MWISHO ....
 
Back
Top Bottom