Diwani wa CHADEMA kata ya Sinza ni mzigo

Developer IOS

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2017
Posts
1,456
Reaction score
1,410
Habari wakuu
Wakazi wa sinza wanajuta na kujilaumu kwa kushabikia mabadiliko bila kujua mabadiliko gani wanayoyataka.Pia wanajuta kwa kumchagua diwani mzigo na muhuni wa chadema kwani tangu kuchafuliwa kwake hajawahi kuonekana wala kujihusisha na shughuli yoyote ya maendeleo wala kufanya kikao chochote na wananchi wala kutatua kero yoyote ya wananchi.

Kama chadema kata tu inawashinda kuendesha je mkikabidhiwa nchi itakuwaje kweli nimeamini maneno ya mwalimu kuwa ikulu ni mahala patakatifu sio mahala pa walanguzi hivyo cdm msipobadilika ikulu mtaisikia kwenye taarifa ya habari
 
Mkuu siku imeisha salama lakini maana naona kama umevurugwa kwa kiasi kikubwa, pole mnooo...
 
[emoji8][emoji848][emoji23][emoji23][emoji2]Polepole hajamwona amnunue?
 
MMEMTUMA NINI HAJAWALETEA HUKU WATU WENGINE WAKISEMA PALIPO NA UPINZANI MSIPELEKE MAENDELEO.
 
Habari wakuu
Wakazi wa sinza wanajuta na kujilaumu kwa kushabikia mabadiliko bila kujua mabadiliko gani wanayoyataka.Pia wanajuta kwa kumchagua diwani mzigo na muhuni wa chadema kwani tangu kuchafuliwa kwake hajawahi kuonekana wala kujihusisha na shughuli yoyote ya maendeleo wala kufanya kikao chochote na wananchi wala kutatua kero yoyote ya wananchi.

Kama chadema kata tu inawashinda kuendesha je mkikabidhiwa nchi itakuwaje kweli nimeamini maneno ya mwalimu kuwa ikulu ni mahala patakatifu sio mahala pa walanguzi hivyo cdm msipobadilika ikulu mtaisikia kwenye taarifa ya habari

Dogo unajipigia promo si mchezo
 
Hata kama angekuwa uweza hawezi mbio za relay za CDM zimeuwawa na waliotangulia kukimbiza kijiti. Ukishaona mke akimsifia mke mwenza ujue kwisha habari yake.
 
Vip katoa dau kubwa zaidi au vip? Muongezeeni tu atafika bei msihofu.

Au fungu la manunuzi limepungua
 
Habari wakuu
Wakazi wa sinza wanajuta na kujilaumu kwa kushabikia mabadiliko bila kujua mabadiliko gani wanayoyataka.Pia wanajuta kwa kumchagua diwani mzigo na muhuni wa chadema kwani tangu kuchafuliwa kwake hajawahi kuonekana wala kujihusisha na shughuli yoyote ya maendeleo wala kufanya kikao chochote na wananchi wala kutatua kero yoyote ya wananchi.

Kama chadema kata tu inawashinda kuendesha je mkikabidhiwa nchi itakuwaje kweli nimeamini maneno ya mwalimu kuwa ikulu ni mahala patakatifu sio mahala pa walanguzi hivyo cdm msipobadilika ikulu mtaisikia kwenye taarifa ya habari
Umemaliza! Mbona moyoni mwako bado umejaa chuki zaidi.
 
Haa!!,Bora nyie huko ni Diwani, Kule jimbo la msalala kuna Mbunge anaitwa EZEKIEL MAIGE

Wakazi wa JIMBO LA MSALALA wanajuta na kujilaumu kwa kushabikia ccm ya magufuli bila kujua makufuri gani wanayoyataka.Pia wanajuta kwa kumchagua Mbunge mzigo na muhuni wa ccm kwani tangu kuchaguliwa kwake hajawahi kuonekana wala kujihusisha na shughuli yoyote ya maendeleo wala kufanya kikao chochote na wananchi wala kutatua kero yoyote ya wananchi.

Kama ccm jimbo tu inawashinda kuendesha je mnaona hata uendeshaji wenu wa nchi ulivyo wa kijinga!!! kweli nimeamini maneno ya mwalimu kuwaikulu ni mahala patakatifu sio mahala pa walanguzi hivyo ccm ya magufuli msipotubu, basi wananchi watabaki kusikia maendeleo kwenye nchi za jirani tuu.
 
jamani msibishane naye, mwenzenu anatafuta fursa. Mmesahau kuna uzi ulipandishwa humu kuwa jpm anatarajia kupangua madc, mwenzenu anajaribu bahati ndio maana kaweka na namba ya simu ili iwe rahisi kwake kupatikana
 
Habari wakuu
Wakazi wa sinza wanajuta na kujilaumu kwa kushabikia mabadiliko bila kujua mabadiliko gani wanayoyataka.Pia wanajuta kwa kumchagua diwani mzigo na muhuni wa chadema kwani tangu kuchafuliwa kwake hajawahi kuonekana wala kujihusisha na shughuli yoyote ya maendeleo wala kufanya kikao chochote na wananchi wala kutatua kero yoyote ya wananchi.

Kama chadema kata tu inawashinda kuendesha je mkikabidhiwa nchi itakuwaje kweli nimeamini maneno ya mwalimu kuwa ikulu ni mahala patakatifu sio mahala pa walanguzi hivyo cdm msipobadilika ikulu mtaisikia kwenye taarifa ya habari
Angalia kama ni mzigo wa taka ukatupe kwa mwenyekiti wa mtaa
 
Back
Top Bottom