Diwani wa CHADEMA kata ya Sinza ni mzigo

Habari wakuu
Wakazi wa sinza wanajuta na kujilaumu kwa kushabikia mabadiliko bila kujua mabadiliko gani wanayoyataka.Pia wanajuta kwa kumchagua diwani mzigo na muhuni wa chadema kwani tangu kuchafuliwa kwake hajawahi kuonekana wala kujihusisha na shughuli yoyote ya maendeleo wala kufanya kikao chochote na wananchi wala kutatua kero yoyote ya wananchi.

Kama chadema kata tu inawashinda kuendesha je mkikabidhiwa nchi itakuwaje kweli nimeamini maneno ya mwalimu kuwa ikulu ni mahala patakatifu sio mahala pa walanguzi hivyo cdm msipobadilika ikulu mtaisikia kwenye taarifa ya habari

Atavumiliwa hivyo hivyo. Mzigo mingine ni mizuri kuibeba
 
Usimlaumu "kamanda"
 
mkateni mapanga muitishe uchaguzi tena, au kuna jingine tena?
 
Umemaliza! Mbona moyoni mwako bado umejaa chuki zaidi.
Mkuu nenda sinza uliza kama kashawahi hata kusikiliza kero za wananchi mwaka wa tatu anaonekana kwenye misiba tu wakati kero ni lukuki mitaro haina madaraja
 
Mbona were ni mzigo wa baba yako na anakuvumilia, maybe atavumiliwa hivyo hivyo. Mzigo mingine ni mizuri kuibeba
Mkuu msichukulie mambo ya maendeleo kisiasa madaraja yameziba watu wanaishi kwa hofu ya maafuriko halafu unaongea kisiasa shame on u
 
Haa!!,Bora nyie huko ni Diwani, Kule jimbo la msalala kuna Mbunge anaitwa EZEKIEL MAIGE

Wakazi wa JIMBO LA MSALALA wanajuta na kujilaumu kwa kushabikia ccm ya magufuli bila kujua makufuri gani wanayoyataka.Pia wanajuta kwa kumchagua Mbunge mzigo na muhuni wa ccm kwani tangu kuchaguliwa kwake hajawahi kuonekana wala kujihusisha na shughuli yoyote ya maendeleo wala kufanya kikao chochote na wananchi wala kutatua kero yoyote ya wananchi.

Kama ccm jimbo tu inawashinda kuendesha je mnaona hata uendeshaji wenu wa nchi ulivyo wa kijinga!!! kweli nimeamini maneno ya mwalimu kuwaikulu ni mahala patakatifu sio mahala pa walanguzi hivyo ccm ya magufuli msipotubu, basi wananchi watabaki kusikia maendeleo kwenye nchi za jirani tuu.
hahaha mkuu umeaua kumjeuzia kiba
 
Hapo jamaa anajaribu karata ya udc na uded... Haya bhana mhe chikandamwali atazipata salamu zako.... Lkn mkimnunua mtamsimamisha huyo huyo tena
 
Mimi ni mkaazi wa Sinza.Sioni diwani anaweza akafanya nini ambacho hakipo Sinza.Shule zipo,hospitali ipo,usulama upo...nacho maanisha ni kwamba miundo mbinu zote zipo.
Kwa wale wanaotumia barabara ya mawasiliano mtakubali kuwa ni kero lakini kutengeneza barara ya lami si kazi ya diwani.

Kwahivyo usipotoshe uma kwamba dawini wa Sinza ni mzigo.Washamba kama wewe ambao mna siasa za kishabik ndo mzigo kwa taifa hili.
 
Acha uchoko wewe......mafuriko kaleta yeye? Wewe ni zero brain kama rc wako. Stupid

Sent from my VFD 500 using JamiiForums mobile app
Mkuu acha uzero brain maafuriko yamesababishwa na kuziba kwa daraja so kama yeye anatakiwa kuita kijiko kizibue daraja kwani si kuna mafungu ya halmshauri sasa yeye posho anazokula ni za nini
 
Mimi ni mkaazi wa Sinza.Sioni diwani anaweza akafanya nini ambacho hakipo Sinza.Shule zipo,hospitali ipo,usulama upo...nacho maanisha ni kwamba miundo mbinu zote zipo.
Kwa wale wanaotumia barabara ya mawasiliano mtakubali kuwa ni kero lakini kutengeneza barara ya lami si kazi ya diwani.

Kwahivyo usipotoshe uma kwamba dawini wa Sinza ni mzigo.Washamba kama wewe ambao mna siasa za kishabik ndo mzigo kwa taifa hili.
Mkuu lile tatizo la maafuriko sinza e unaliongeleaje vipi na kuhusu barabara za mitaa nazo zinajengwa na serikali kuu
 
Mkuu acha uzero brain maafuriko yamesababishwa na kuziba kwa daraja so kama yeye anatakiwa kuita kijiko kizibue daraja kwani si kuna mafungu ya halmshauri sasa yeye posho anazokula ni za nini
You black dog. Unajua sasaivi kama miradi yote ya miundombinu ya barabara IPO TARUra? Nenda wafate hao ndo wahusika.

Sent from my VFD 500 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni mkaazi wa Sinza.Sioni diwani anaweza akafanya nini ambacho hakipo Sinza.Shule zipo,hospitali ipo,usulama upo...nacho maanisha ni kwamba miundo mbinu zote zipo.
Kwa wale wanaotumia barabara ya mawasiliano mtakubali kuwa ni kero lakini kutengeneza barara ya lami si kazi ya diwani.

Kwahivyo usipotoshe uma kwamba dawini wa Sinza ni mzigo.Washamba kama wewe ambao mna siasa za kishabik ndo mzigo kwa taifa hili.
Kwa maana hiyo sinza diwani anakula pesa ya walipa kodi bure
 
Back
Top Bottom