Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 15,986
- 7,366
Kawaambie viongozi wako kwamba Kuwa huru huku unanyanyaswa na kuona watu waliokucagua wananyanyaswa ni uhuru fake.Diwani wa kata ya Makanyagio mjini mpanda kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) , Idd nziguye amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kupatikana na kosa la kukaidi amri ya Serikali. Nzuguye alishtakiwa kwa kosa la kukaidi amri ya Serikali iliyokuwa ikiwataka wafanyabiashara wadogo kuhama katika eneo lisiloruhusiwa kufanya biashara katika mpango wa mji.
Haya, chapa lapa...........msalimie MS