Diwani wa CCM akamatwa

MBURE JASHA

JF-Expert Member
May 7, 2011
200
46
Heshima kwa Wana JF, Diwani wa Viti Maalum ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana(UVCCM) Zaina Shahidi wilaya ya Same amekamatwa na magogo pamoja na Mbao aina ya Kenfa ambazo ni nyara ya serikali na Maafisa mali asili Mwanga Kilimanjaro kwa kushirikina na Polisi wa wa Wilaya ya Mwanga.

Sakata hilo lilijiri wiki iliyopita tarehe 25/08/2011. Habari zaidi zinasema kuwa Diwani huyo alipata tenda ya kuuza magogo kwenye kiwanda cha Kilimanjaro Biochem kilichopo Mwanga, Jitihada za kumtoa mahabusu Diwani huyo Maarufu (Mkwe wa Kikwete kwa Riz 0ne)zimegonga mwamba.

Habari zinazidi kumiminika kuwa Diwani huyo kwa kusshirikiana Katibu wa Uchumi na fedha wa CCM Mkoa wa kilimanjaro Bwana Mohamed Karia ndio wanaoongoza mtandao wa wafyeka misitu katika mkoa huu na wanakingiwa kifua na mawaziri David Mathayo na Ezekiel Maige.

Viongozi mbalimbali wa CCM wa wilaya za Same na Moshi walikuwa wakihaha kujaribu kutafuta removal order ili wamtoe gerezani Kiruru.

Mpaka sasa diwani huyo bado yupo gereza la Kiruru akisubiri sikukuu ya Iddi ipite ndo kesi yake iendelee
 
Heri ni wa CCM, angekuwa ni wa CDM tungesikia ni "ukandamizaji wa ki siasa"
 
Tatizo viongozi wa ccm wapokiuwiziuwizi 2 heri mkoloni arudi kuliko kutawaliwa na ccm
 
Diwani, anachukua Tenda ya ku-supply vitu vya Wizi! CCM, give us a break!

Isitoshe anatumia Ukwe wa Mkweree kuendeleza jadi ya Kizazi chake!
 
CCM mpya baada ya Nyerere kupita, Rais analea akina jairo, watoto wa Marais nao wanaiba ( Riz1 na kampuni ya mfuta), mawaziri wanaiba ( Malima na mkuchika na Buzwagi), Mamaea wanaiba ( UDA), Wabunge wanaiba ( posho kibao) wakuu wa wilaya wanaiba (kinondoni) Madiwani nao wameiba ( Zaina Shahidi ccm na magogogo same), Wenyeviti na watendaji wa vijiji na mitaa mihuri ni Tsh 1000 bila risiti. Tutafika?
 
Heshima kwa Wana JF, Diwani wa Viti Maalum ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana(UVCCM) Zaina Shahidi wilaya ya Same amekamatwa na magogo pamoja na Mbao aina ya Kenfa ambazo ni nyara ya serikali na Maafisa mali asili Mwanga Kilimanjaro kwa kushirikina na Polisi wa wa Wilaya ya Mwanga.

Sakata hilo lilijiri wiki iliyopita tarehe 25/08/2011. Habari zaidi zinasema kuwa Diwani huyo alipata tenda ya kuuza magogo kwenye kiwanda cha Kilimanjaro Biochem kilichopo Mwanga, Jitihada za kumtoa mahabusu Diwani huyo Maarufu (Mkwe wa Kikwete kwa Riz 0ne)zimegonga mwamba.

Habari zinazidi kumiminika kuwa Diwani huyo kwa kusshirikiana Katibu wa Uchumi na fedha wa CCM Mkoa wa kilimanjaro Bwana Mohamed Karia ndio wanaoongoza mtandao wa wafyeka misitu katika mkoa huu na wanakingiwa kifua na mawaziri David Mathayo na Ezekiel Maige.

Viongozi mbalimbali wa CCM wa wilaya za Same na Moshi walikuwa wakihaha kujaribu kutafuta removal order ili wamtoe gerezani Kiruru.

Mpaka sasa diwani huyo bado yupo gereza la Kiruru akisubiri sikukuu ya Iddi ipite ndo kesi yake iendelee
Katika kipindi cha kupitisha Budget ya Wizara ya Maliasili na Utalii, Waziri Ezekiel Maige alimsimamisha kazi Mkurugenzi wa Idara ya wanyama pori kwa ubadhirifu, hapa inatiashaka kuona Maige anamtetea huyu diwani.
 
asante wakuu, naomba hakim ampe mvua fasta huyo fisadi! cdm mpoo? crdt aded!
 
wanapatikana vip?. Wanagawana jasho letu wao na familia zao. Nasikia kigezo cha ubunge vit maalum ni kujuana na wakubwa kwenye chama+sirikal,

viburudisho !! Wakishaburudishana wanapeana vt maalum kama zawadi ndo mana weng wao ni ziro brain
 
Back
Top Bottom