Diwani wa CCM afariki (Morogoro)

poa kamanda RIP Kamanda utu ni bora kuliko madaraka. ila hiyo nembo ya chama chake itoeniînanichefua sana.
 
Sasa hiyo bendera hapo juu ya nini na wewe bhana?anyway..poleni gambaz wote na ndugu wa marehemu!alazwe panapostahili!
 
roho yake ilazwe sehemu inayo stahili
 
Ndio maana nimeamua kuachana na siasa kwa sababu sasa hata ubinadamu hakuna , full chuki na mawazo ya kijinga,
Mtu anafariki badala ya kutoa pole unawaza uchaguzi,

Lazima Uchilisosike mwaka huu.....Penda usipende kata lazima ije CDM hiyo......Mungu amlaze jehanam kama aliiba mali za umma..
 

Kata nyingine tunaichukua hamna ubishi,
 
Japo kweli ccm imetuachia makovu mengi yasiyotibika,ila duh!
 

Attachments

  • mhanga3.jpg
    8.4 KB · Views: 69
Si haba...pole pole ndio mwendo hata hiyo kata moja sie yatutosha....ccm endeleeni kulogana kwani kifo cha panzi kunguru hufurahia sana!
 
Vipi hauna dodoso ni lini uchaguzi utatangazwa tuchukue kata yetu...

Kamanda teso, unanivunja mbavu..ni kweli hiyo kata ni yetu ila policcm wataleta fujo sana.virungu naabomu sina imani na ccm wala policcm.
 
Mauti kwa kila kiumbe,tusifurahie yanapofika wengine tukumbuke kesho ni kwako
 
Ni lini umeshawahi kuonyesha ubinadamu kwenye mateso aliyoyapata Lwakatare baada ya kubambikiwa kesi na Mwigulu? Kwenye mateso ya Dr Ulimboka? Kwenye mauaji ya Mwangosi, Kwenye mauaji mbali mbali kule Arusha ikiwemo mauaji ya kurushiwa bomu na pia kule Mtwara watu kuuwawa, kuchomewa nyumba zao na kutiwa vilema kwa kudai haki zao!? Mkuki kwa nguruwe eeh!!! Mnaepeleka nchi pabaya!!! Kikwete mpaka leo hii hajatoa rambi rambi kwa familia ya Mwangosi, kule Arusha, Mtwara na kwingineko lakini huyo muuza unga baada ya kumwagiwa tindikali kaenda haraka haraka kumpa pole!!! Mbona hujamkemea Kikwete kwa kutotoa rambirambi katika matukio hayo husika!?


Ndio maana nimeamua kuachana na siasa kwa sababu sasa hata ubinadamu hakuna , full chuki na mawazo ya kijinga,
Mtu anafariki badala ya kutoa pole unawaza uchaguzi,
 

BAK,

Uwa nakuheshimu sana kwa jinsi unavyo changia, na ndio maana nionapo hoja yako uwa naacha ushabiki wangu wa kisiasa na kujadili hoja kwa mlengo wa kati. Ningeomba na wewe uachane na mapungufu ya mtu au watu na ujikite kwenye suala lililopo kwenye uzi huu, nalo ni msiba, mambo mengine ya kejeli na fedheha tuyafanye kwenye nyuzi zenye maudhui ya namna hiyo lakini sio msiba. Yangu ni hayo tu mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Lazima Uchilisosike mwaka huu.....Penda usipende kata lazima ije CDM hiyo......Mungu amlaze jehanam kama aliiba mali za umma..
Mkuu mimi niko mbali sana na hata hizo siasa sina mpango nazo tena.

Nyie endeleeni kumwagiana matindikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…