Mkuki kwa nguruwe mkuu! Wao wepesi sana wa kujisahau
Kamanda sweetylady hawa magamba wameshatutukana sanaa..kutunyanyasa sana, kutupiga virungu naabomu sanaa wakisaidiwa na ndugu zao policcm. Sasa basi sisi tunawapa kichapo kwenye sanduku la kura.baaasi.
Ni kweli kamanda.... tutaanza kuwaliza mwakani kwenye uchaguz wa serikali za mitaa....2015 tunamalizia
Ni kweli kamanda, ila policcm watatupiga sana maana ndio njia wanayoona itawasaidia kupunguza machungu.tatizo kubwa kwa sasa ni hawa policcm, magamba yalisha surrender siku nyingi sana, wao tegemeo lao kubwa kwa sasa ni policcm .
Poleni wafiwa......kata yetu hiyo CDM ishakuwa.
kuwa na utu kijana, kifo hakina mjuzi unatakiwa kuheshimu, vyeo ni vitu vya kupita na kila mwanaadam ataonja mauti
MUngu akulaani. Bado watanzania hatujafikia huko
hata mimi napata kigugumizi sana na hao chadema wamemuua mwangosi then wanasingizia polisi, while polisi ni chombo cha serikali,sio cha chama...labda wangesema ni green gd,cdm wameua mtwara afu wanasingizia ni serikali ....Kwa mlengo huu nashindwa kutofautisha chadema na alqaeda au al shabab kwani wote hufurahia vifo vya wengine na wanaua watu kwa jina la Mungu
Unachekesha..uzuri Mungu huumbua wanafiki, kuhusu msiba wa mwangosi magamba yalitaka kudanganya umma kuwa ni chadema wamemuuwa, lakini Mungu ni mkubwa kuuweka ushahidi wa waliomuuwa marehemu mwangosi....ndio maana mpaka sasa hakuna hatua zozote zilizochukuliwa juu ya kifo cha mwangosi. MUNGU AMREHEMU MAREHEMU MWANGOSI.INASIKITISHA SANA BASI TUU.POLICCM MNAMALIZA WATU SABABU YA KUINISURU CCM.ILA YOOOTE YANA MWISHO.hata mimi napata kigugumizi sana na hao chadema wamemuua mwangosi then wanasingizia polisi, while polisi ni chombo cha serikali,sio cha chama...labda wangesema ni green gd,cdm wameua mtwara afu wanasingizia ni serikali ....