Kuna haja ya kubadilisha sheria ya uchaguzi maana inawezekana wakati sheria hii ilipopitishwa hawakuangalia ka
ma kuna kifo.
Kuna haja ya kubadilisha sheria ya uchaguzi maana inawezekana wakati sheria hii ilipopitishwa hawakuangalia ka
ma kuna kifo.
Mungu Amlaze Pema Peponi. Watanzania tufike mahali kwenye mambo ya vifo tuweke itikad pembeni. Tukiendelea kufurahi wenzetu kufa tutaanza kuchinjana. Na hizi chuki zitafanya baadhi ya wafuasi kunywa zaidi maji ya rangi za bendera zao. Na CCM akawa mtawala Milele. R.I.P
Inawezekana Marehemu alikuwa ni mmoja wa walioshabikia kifo cha Ally Zona kwa hiyo kifo chake ni moja ya malipo kwa mwenyezi mungu.Ndio maana nimeamua kuachana na siasa kwa sababu sasa hata ubinadamu hakuna , full chuki na mawazo ya kijinga,
Mtu anafariki badala ya kutoa pole unawaza uchaguzi,
Aah...inawezekana aisee...dah kweli malupo ni hapa hapa duniani.RIP gamba.Inawezekana Marehemu alikuwa ni mmoja wa walioshabikia kifo cha Ally Zona kwa hiyo kifo chake ni moja ya malipo kwa mwenyezi mungu.
Tunaelekea kubaya, ukae ukijua mimi sikuchukii wewe kuwa chadema hata kidogo na hata ukiangalia ninaofanya biashara nao ni kutoka kila chama sasa haya mambo ya kufurahia vifo vya wengine sijui tunakwenda wapi sasaNa wale wanajeshi wa ccm wanaobaka raia kule mtwara umeweza kuwatofautisha?
Siungi mkono kinachoendelea ila ndipo nchi yetu ilipofikishwa na ccm leo...
RIP Daudi
Tunaelekea kubaya, ukae ukijua mimi sikuchukii wewe kuwa chadema hata kidogo na hata ukiangalia ninaofanya biashara nao ni kutoka kila chama sasa haya mambo ya kufurahia vifo vya wengine sijui tunakwenda wapi sasa
Chris lukosi acha unafiki, kama umeamua kiachana na siasa unafanya nini kwenye hili jukwaa? Hivi magamba mtaacha lini unafiki? Mnaboa..na tunaichukuwa hiyo kata sasa.Ndio maana nimeamua kuachana na siasa kwa sababu sasa hata ubinadamu hakuna , full chuki na mawazo ya kijinga,
Mtu anafariki badala ya kutoa pole unawaza uchaguzi,
kumbe hata nyie mkifiwa hampendi kukebehiwa sasa mbona majanga ya vifo yanayo husu CHADEMA huwa mnakuwa na kebehi sana??kuwa na utu kijana, kifo hakina mjuzi unatakiwa kuheshimu, vyeo ni vitu vya kupita na kila mwanaadam ataonja mauti
Hahahaha, basi tutaenda kwenye kampeni kuchukua kata eeh
kumbe hata nyie mkifiwa hampendi kukebehiwa sasa mbona majanga ya vifo yanayo husu CHADEMA huwa mnakuwa na kebehi sana??
all in all polen wafiwa.