Diwani wa CCM afariki (Morogoro)

Diwani wa CCM afariki (Morogoro)

JAFE

Senior Member
Joined
Sep 1, 2012
Posts
191
Reaction score
42
Daudi Daudi Mbao Aliyekuwa Diwani wa Kata Ya Tungi Manispaa ya Morogoro amefariki leo nyumbani kwake nane nane Morogoro Mjini.

Marehemu alikuwa anasumbiliwa na ugonjwa wa sukari kwa muda mrefu na imefahamika ndio chanzo cha mauti yake.

Msiba uko Nyumbani kwake nane nane morogoro mjini ,Taratibu za mazishi zinaendelea na atazikwa kesho kwenye Makaburi ya Kola Mjini Morogoro

Bwana Ametoa na Bwana ametwaa Jiana la Bwana lihimidiwe

Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali pema Peponi Amen
 
Pole wafiwa wote, wakazi wa Morogoro, wapenzi, mashabiki na wanachama wa CCM.

RIP Daud
 
jamani kifo kituunganishe wakuu, marehemu apumzike kaburini na siku ya hukumu ahukumiwe kwa haki kutokana na aliyoyafanya duniani wakati wa uhai wake.
 
CCM11.jpg

Daudi Daudi Mbao Aliyekuwa Diwani wa Kata Ya Tungi Manispaa ya Morogoro amefariki leo nyumbani kwake nane nane Morogoro Mjini.

Marehemu alikuwa anasumbiliwa na ugonjwa wa sukari kwa muda mrefu na imefahamika ndio chanzo cha mauti yake.

Msiba uko Nyumbani kwake nane nane morogoro mjini ,Taratibu za mazishi zinaendelea na atazikwa kesho kwenye Makaburi ya Kola Mjini Morogoro

Bwana Ametoa na Bwana ametwaa Jiana la Bwana lihimidiwe

Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali pema Peponi Amen
Endelea Kupitia audifacejackson.blogspot.com kwa taarifa zaidi

Mungu awape wepesi wafiwa.
 
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]
CCM11.jpg

Daudi Daudi Mbao Aliyekuwa Diwani wa Kata Ya Tungi Manispaa ya Morogoro amefariki leo nyumbani kwake nane nane Morogoro Mjini.

[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Marehemu alikuwa anasumbiliwa na ugonjwa wa sukari kwa muda mrefu na imefahamika ndio chanzo cha mauti yake.
[/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif][/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Msiba uko Nyumbani kwake nane nane morogoro mjini ,Taratibu za mazishi zinaendelea na atazikwa kesho kwenye Makaburi ya Kola Mjini Morogoro
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Bwana Ametoa na Bwana ametwaa Jiana la Bwana lihimidiwe
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali pema Peponi Amen
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif][/FONT][/FONT]
Rip gamba,
 
RIP Diwani. Diwani wa 2 wa CCM huyo. Wiki iliyopita Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chamwino alizikwa huko Chamwino
 
Kwa mlengo huu nashindwa kutofautisha chadema na alqaeda au al shabab kwani wote hufurahia vifo vya wengine na wanaua watu kwa jina la Mungu

Liccm likifa wakandamizwa tunafrahi sana saa ya ukombozi imewadia.
 
Kuna haja ya kubadilisha sheria ya uchaguzi maana inawezekana wakati sheria hii ilipopitishwa hawakuangalia ka
ma kuna kifo.
 
Back
Top Bottom