Diwani mwingine afariki Dodoma

mi nimefurahi maana magamba kama wanakufa 2tapata unafuu wa maisha kidogo,.acha aende tu
 
kwa wale wa sirikalini mjiandae kupata salary zenu baada ya miez mi2,kuna mafuta ya helikopta 3,kuhonga,tshet,kofia na mabango ya magamba yanatakiwa hapo..maumiv makali next.Au ndo wanavuana magamba kwa stail hii
 
Jamani kifo cha Diwan wa kata ya chang'ombe ni UTATA MTUPU.

Marehemu KISHOKA diwani Maarufu ambae alikuwa na sifa kubwa ya kuwasaidia Wamama wenye Matatizo ya ndoa katika kata yake.
Marehemu Haji katibu wa vijana CCM DODOMA,Ambae alipoteza Maisha baada ya Mke aliemuoa kumshtakia kwa Marehemu KISHOKA,Kama kaka yake wa Waliotoka wote Kondoa,kuwa yeye anapgwa na Mme wake Haji wakati yeye Kaka yupo,.ndipo Diwan kishoka alipopga simu Police na kuwahonga police,na kwenda Kumkamata usiku,Walipo mkamata Marehem HAJI alipgwa Sana na Police,kipgo ambacho kilisabbsha apoteze Maisha.kabla ya kufariki akiwa hoi alitamka wazi kuwa aliesabbsha vile Ni Diwan kishoka,na kama atakufa bs Nae Kishoka atakufa,kweli Haji alifariki.
Wana magamba wenyewe wanajua wa Dodoma mpaka makao makuu yao mchezo mzima lakn walikaa kimya.
Baada ya Kufariki HAJI haikupita wiki Diwan Kishoka mchana kweupe Alipamiwa na NJIWA KWENYE paji la Uso,toka muda huo alianza kuumwa kichwa mpaka MAUTI Ilipo mfikia.
Huyu jamaa kwakweli Msiba wake cjapata kuona Wingi wa Watu ule.
Kubwa la kushangaza Ni kundi la NJIWA WENGI waliokuja na KUKAA kwenye paa la Nyumba,na wakati wa kwenda kuzika Nao waliandamana Nasi na kutua Kwenye miti iliyokaribu na Eneo la Mazishi,Na tulipo maliza kuzika Walirudi mpaka nyumbani Kwa Marehemu KISHOKA.THEN wakatawanyika.
Wengine walifanya sherehe ya kifo cha Diwan Kishoka.
Huo ndo ukweli.Achilia mbali UTAPELI WA VIWANJA VYA WANANCHI ALIOUFANYA AKIWA HAI,
 
Back
Top Bottom