Diwani mwingine afariki Dodoma

R.I.P. Diwani, umetupatia nafasi ya kumtafuta Comrade kutoka Peoples Power.
 
Wakuhurumia ni wapi wale walioachwa yatima kwa ajali ya meli au hao walioachwa yatima na fisadi wa ze magamba? hakuna mtu kamuombea mtu afe apa bali yeye kafa na mimi nikasema bora kapunguza list ulitaka aishi milele kwake hapa duniani? we vipi hata wewe ukidedi tutakwambia bora ulaze uka rest maisha yenyewe haya ya kuunga unga ebo, mbona komba alimwambia nyerere atangulie fasta itakuja kuwa diwani?



si vizuri kuwaombea binadamu wenzenu vifo kwani eti kwasbb ni wamagamba, kumbukeni wana wake/waume na watoto ambao ni malaika na si magamba wanabaki yatima. R.I.P
 
Miaka yote NCHI hii itakuwa ya UCHAGUZI tu huku huduma za jamii zikiendelea kudoda. Tunaigharamia sana SIASA. Ingekuwa amri yangu mgombea aliyeshika nafasi ya pili angeapishwa kuwa DIWANI.
 
Kwa ninavyoijua bongo yetu, huenda ni heri kujadili source ya kifo chake kwa faida yetu tuliosalia!
 
Back
Top Bottom