WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 956
Mheshimiwa,FL1 piga mswaki kwanza kabla ya kunywa maji uamkapo!
Inashauriwa kunywa maji kabla ya kupiga mswaki maana hayo mate mdomoni huwa na faida katika mfumo mzima.Sijajua vizuri the scientific aspect of it na nitaomba wenye utaalamu wa kisayansi watujuze zaidi on this.