mimi nawashangaa sana wana chadema; badala ya kushughulikia mambo muhimu katika kuimarisha chama chao, wao wameng'ang'ania hoja za dowans na ugonjwa wa mwakiembe! huku maeneo wanayoshikilia kiuongozi yakiwa na matatizo makubwa, wananchi wana lalamika huku uongozi wa chadema ukionesha kutokuwajibika: hii ni dalili tosha kwamba viti vya ubunge na udiwani walivyoazimwa na ccm 2010 watavirudisha kwa wenyewe 2015!Huyu ndiye yule mwanamuzi wa Bong flava au?
mimi nawashangaa sana wana chadema; badala ya kushughulikia mambo muhimu katika kuimarisha chama chao, wao wameng'ang'ania hoja za dowans na ugonjwa wa mwakiembe! huku maeneo wanayoshikilia kiuongozi yakiwa na matatizo makubwa, wananchi wana lalamika huku uongozi wa chadema ukionesha kutokuwajibika: hii ni dalili tosha kwamba viti vya ubunge na udiwani walivyoazimwa na ccm 2010 watavirudisha kwa wenyewe 2015!