Diwani huyu anatudhoofishia malengo yetu

unataka kuniambia historia ya nccr mageuzi ya mwaka 1995 na 2000 itajirudia kwa cdm mwaka 2010 na 2015? Kilio cha wana sinza c ni kilio cha wengi! Kimara pia kuna diwani wa cdm na watu wanalia tu. Huyu diwani wa kimara kazi yake ni vurugu na kupanda juu ya meza wakati wa vikao vya council huku kimara ikipata utapiamlo wa maendeleo.

khaaaaaaaa,hivi haiwezekani kuwanyang'anya hivo viti, anapga msuba nini?fukuza hata baibo inasema jIcho likikukosesha. Ling'oe litupe
 
Huyu ndiye yule mwanamuzi wa Bong flava au?

Yes ndie huyo huyo bongo flava, huyu bwana anahitaji sana awekwe chini na viongozi wa CDM...asikiponze chama kwa uzembe wake binafsi ana kila sababu ya kufanya vizuri katika kata yake ya sinza watu wameichoka CCM mno na vijana na wazee walio wengi wako tayari kumpa kila aina ya ushirikiano mradi tuitokomeze CCM ktk kata hii
 
Haya malalamiko ni ya kimaadili na kichama zaidi,taarifa hizi zipelekwa kwa mbunge na viongozi wa chama, Sidhani kama JF ni CC ya vyama hapa ni hoja.kama taarifa zimefikishwa kwa wahusika na hakuna lolote lililofanyika,basi ndo ingekuja kama hoja ya mjadala.
Tutumie jukwaa hili kwa hoja ambazo kweli ni thinkable, trukiendelea hivi kuna watu watapost thread za kupewe talaka, kuibiwa simu,kukatiwa maji n.k wakati kuna mahali husika penye kushughulikia malalamiko hayo.
 
Hivi hakuna uwezekano wa CDM kumpiga chini afu ukaitishwa uchaguzi na tukaweka jembe la kazi, maana hawa madiwani wasiofanya kazi wanaharibu sifa ya CDM. Hata diwani wetu wa mbezi luisi (CDM) hatumuoni huku, yaaani hawajibiki!
Hiyo ndio nilifikiria watu kama hawa wananchi mnaandamana mnamtoa kwa nguvu zenu.
 
Kama anashindia bar basi anategemea kampeni ya breki za nyau 2015 kama jamaa wa Igunga!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
KIjana pole sana kwa kuwadanganya wana jf na unatakiwa utuombe radhi Diwani wa sinza ni jembe na huwezi kumlinganisha na huyo babu kwa muda mchache alionao kwenye mamlaka kafanya vitu vingi sana tofauti na huyo babu na utofauti ni kama mbingu na aridhi.jana alisema yote aliyoyafanya kwenye mkutano wa hadhala na mh mbunge mkutano ulifanyika viwanja vya seven up sinza.aliyasema mengi sana na wakazi wa sinza tumeona kama maajabu kwetu lakini kwa kuwa unaonekana hujui ngoja nikudokeze ujifunze mr simple alisema wakati anaingia kwenye madalaka shule zote za kata ya sinza vyoo vyake vilikuwa vimechaka alikomaa mpaka vyoo vinajengw na wananchi tumeona sijui wewe mwenzangu upo sinza ipi? pia huyu atumii tax anatumia gari aina ya lov4 namba T608 AQG rangi nyeusi na kabla ya hapo alikuwa na baloon cresta T112 AAR NYEUPE UKIWA UNATOA TARIFA JARIBU KUWA UMEPATA UHAKIKA POLE SANA. NA KUHUSU HAJUI KUANDIKA BARUA PIA POLE SANA KIJANA HUYU MTU NI NOMA JAPOKUWA SIJUI KIUNDANI ELIMU YAKE ILA NAJUA AMEMALIZA KIDATO CHA SITA SEMINARI HUKO KWAO MUSOMA. ETI ANAWANAWAKE WENGI KULIKO JK KIJANA SISI TUNAMJUA MKE WAKE ANAITWA MAMA JOHN WAPO PALE HOME WOTE POA NA SIJUI ULIMWONA WAP WEWE NA WANAWAKE ILA HUYU MTU ANAPENDA SANA KUJICHANGANYA NA WATU WOTE SI MTU WA POZI WALA HILO SHALOBALO UNALOSEMA WEWE.NAOMBA UJIPANGE UPYA ILI UMCHAFUE TENA KIONGOZI WETU ACHA TABIA ZA CCM. KAMANDA
 
Maji GOBA vilevile tumeshachoka na ahadi almost mwaka wa pili sasa hakuna taarifa wala mipango kuhusu upatikanaje wa maji

Namkumbusha mnyika mkutano wake wa mwisho pale goba alisema 100 days atakuja na majibu..kimya..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom