Hii nayo ni kahawa!Aliyekuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa kipindi cha serikali ya awamu ya tano bwana Diwani Athumani inasemekana amekuwa akiishi chini ya ulinzi mkali sana.
Diwani Athumani tangu aondoke madarakani haonekani popote na haalikwi kwenye hafla yoyote!
Watu wanajiuliza kama amewekwa detention kutokana na uzembe wake wa kiulinzi uliosababisha ajali ya tarehe 21/3/2021 na kuwaachia maumivu makubwa watanzania kwa nchi kurudi kwenye mikono ya mafisadi kwa kasi kubwa.
Mjane wa Marehemu unaweweseka tuAliyekuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa kipindi cha serikali ya awamu ya tano bwana Diwani Athumani inasemekana amekuwa akiishi chini ya ulinzi mkali sana.
Diwani Athumani tangu aondoke madarakani haonekani popote na haalikwi kwenye hafla yoyote!
Watu wanajiuliza kama amewekwa detention kutokana na uzembe wake wa kiulinzi uliosababisha ajali ya tarehe 21/3/2021 na kuwaachia maumivu makubwa watanzania kwa nchi kurudi kwenye mikono ya mafisadi kwa kasi kubwa.
nonsense 🐒Aliyekuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa kipindi cha serikali ya awamu ya tano bwana Diwani Athumani inasemekana amekuwa akiishi chini ya ulinzi mkali sana.
Diwani Athumani tangu aondoke madarakani haonekani popote na haalikwi kwenye hafla yoyote!
Watu wanajiuliza kama amewekwa detention kutokana na uzembe wake wa kiulinzi uliosababisha ajali ya tarehe 21/3/2021 na kuwaachia maumivu makubwa watanzania kwa nchi kurudi kwenye mikono ya mafisadi kwa kasi kubwa.
Juzi tumemuona kipilimba kwenye mazishi ya mama yake MagufuliHii nayo ni kahawa!
Watangulizi wake unajua walipo?
Mnadhani wale ni wastaafu wa redbrigade au?
Hata Apson yupo kitaa SI ndiyoJuzi tumemuona kipilimba kwenye mazishi ya mama yake Magufuli
Yupo Dubai anakula maisha na hii ni baada ya kukamilisha projectInasikitisha sana
Hata mimi nimewaza kama wewe. Huyu Etwege anataka kutuchanganyia madesa.Sasa kama alifanya uzembe kwa serikali ya sasa si ndio muda wa kupewa tuzo...
Nadhani ni maisha ambayo huenda anayapenda au wastaafubwengibwa kitengo hicho ndio wanavyoishi sababu hata wa kabla yake sijawahi wasikia sikia.
Siwa umeisha muona wapi?Juzi tumemuona kipilimba kwenye mazishi ya mama yake Magufuli
Dogo Diwani amefanya kazi na magufuli kama kipilimba na mabeyo wote walikuwepoSiwa umeisha muona wapi?
Rashd othman je?
Kwani hujui kwamba serikali ya sasa inayoongozwa na wanamtandao ndiyo walifanikisha ajali kutokea? Sasa watamuwajibisha vipi mtu ambaye aliwapa assist?Aliyekuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa kipindi cha serikali ya awamu ya tano bwana Diwani Athumani inasemekana amekuwa akiishi chini ya ulinzi mkali sana.
Diwani Athumani tangu aondoke madarakani haonekani popote na haalikwi kwenye hafla yoyote!
Watu wanajiuliza kama amewekwa detention kutokana na uzembe wake wa kiulinzi uliosababisha ajali ya tarehe 21/3/2021 na kuwaachia maumivu makubwa watanzania kwa nchi kurudi kwenye mikono ya mafisadi kwa kasi kubwa.
Mkuu habari za Mbweni!nonsense 🐒