Diwani asiye na mpinzani wa Kata ya Kimara Mh Pascal Manota

Hahahaha, mlivyolaza watu nje kwani wana kimara wana hamu na nyie, labda muwanyime fomu wapinzani na viapo kama kipindi kilichopita, nyie kijani mumelaza watu nje kwa kuwabomolea nyumba zao kwa kisingizio cha kutanua barabara mpaka sasa limekuwa kama pori, hamna huruma kabisa nyie, leo mnadai hamna upinzaji labda wa kuiba, hapo nitakubaliana na nyie
 
Pongezi KUBWA kwakoo MKUU

Nimekuwa nikiamini na kukuamini popote ulipo

Pongeezi KUBWA wananchi wa kimara wanaaoenda kufaidika na matunda ya Mh Manota
KWA level yake najua WENGINE WAsingekuwa na sifa hatakidogooo kupambana nae
Huwa anasisitiza hayuko.zaidi kupiga porojo HUKO KWA ajili ya kuonyesha Vitendo..naamini mdaa mwigine tens kujidhiirisha ndani. Ya CCM ANA WEZA NA UWEZO UPO

PONGEZI KUBWA CHAMA CHA CCM KUPATA HILI JEMBE
Dhulma haiwezi kuhalalishwa kwa chochote.Yeye ndo hana sifa aliogopa kushindana na wenye sifa ikabidi waenguliwe.Hizo sifa gani za ajabu watu wawe nazo 2015 leo 2018 wazikose?Najua lengo ni watu fulani wanalazimishwa wachukue maamuzi magumu ili kupata kisingizio cha kufutwa baadhi ya vyama vya ukweli.
 
Back
Top Bottom