Diwani asiye na mpinzani wa Kata ya Kimara Mh Pascal Manota

Hata Zacharia, Manji na wengineo walipongezwa kwa staili tofauti ila hawakuduu milele kwenye nafasi zao.
 
View attachment 812289

Katika uchaguzi wa kata ya Kimara Mh Pascal Manota amepita bila kupingwa hata kabla ya uchaguzi baada ya wagombea wengine kukosa sifa za kugombea na kuenguliwe katika kinyang'anyiro hicho.
Wana kimara tunajielewa, hatuwezi kumpa kura zetu huyo MANOTA wenu. Kwanza anajisumbua tu hawezi kushinda tena na tangu aamie ccm mtaani anatembea kwa kujificha!!. Poleni sana mlio na imani naye. Manota ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!
 
Dah!!! huyu jamaa aliyekuwa halali siku zote ni kukesha pale Mwenge sekondary Singida kashaingia kwenye siasa?
 
Wana kimara wenye vyama pamoja na wasio na vyama mnaonekana mnamkubali sana Diwani wenu Manota.
 
Mpuuzi tuu huyo,watu wapo kimaslai zaidi.Chadema ndio imemfanya afike hapo alafu anawageuka.Tatizo wanasiasa wa siku hizi wapo njaa na hv JPM kakaza balaa.Watu wa huku hata kumsikiliza hawataki.
 
Wana kimara wenye vyama pamoja na wasio na vyama mnaonekana mnamkubali sana Diwani wenu Manota.
Kama uchaguzi utakuwa wa haki, Manota hatoboi kwa taarifa yako. Na hilo analijua kwamba atapata wakati mgumu sana kujinadi. Mie niko Kimara na ni mdau wa siasa.
 
Wana kimara tunajielewa, hatuwezi kumpa kura zetu huyo MANOTA wenu. Kwanza anajisumbua tu hawezi kushinda tena na tangu aamie ccm mtaani anatembea kwa kujificha!!. Poleni sana mlio na imani naye. Manota ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!
Sasa hana mpinzani hata kura hazipigwi anasuburi kuapishwa tu
 
Back
Top Bottom