Divorce man 'wants kidney back' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Divorce man 'wants kidney back'

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by BAK, Jan 9, 2009.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,688
  Likes Received: 82,540
  Trophy Points: 280
  Long Island doctor Richard Batista to estranged wife: Give me my kidney back or $1.5M
  By LARRY McSHANE
  DAILY NEWS STAFF WRITERS

  Thursday, January 8th 2009, 2:30 AM ​

  Dr. Richard Batista donated his kidney to his wife, Dawnell, in 2001.
  Richard Batista can live with his broken heart. He just can't bear his cheating wife living with his healthy kidney.

  The Long Island doctor wants the one-time love of his life to pay $1.5 million for the organ he bestowed on her eight years ago in a gift meant to save her life and their foundering marriage.

  "There's no deeper pain you can ever express than to be betrayed by the person you devoted your life to," Batista told reporters in Garden City Wednesday.

  "I saved her life. But the pain is unbearable."

  Batista charged his wife, Dawnell, repaid his gesture by first sleeping with her physical therapist - and then denying him access to their three kids in an increasingly bitter divorce.

  Adding to his anguish, Batista insists his decision to donate his kidney in 2001 was in part a failed effort to rescue their troubled relationship.

  "My first priority was to save her life," the 49-year-old doctor said. "The second bonus was to turn our marriage around."

  Dawnell Batista survived. Their marriage lasted just another four years, with the wife filing for divorce in July 2005.

  The once-happy pair met two decades ago when he was a resident and she a training nurse at North Shore Hospital.

  They were married in August 1990, celebrating with a lavish Long Island reception, and were soon living in a $1 million Massapequa home.

  The couple shared the joy of three daughters, but Dawnell was battling kidney failure and the couple's relationship turned shaky.

  Her husband - a surgeon at Nassau University Medical Center - injected her three times a week with medication as part of her health care regime.

  Dawnell's health continued to deteriorate. After two transplants failed, her husband volunteered to donate one of his kidneys - and discovered he was a match, a 1-in-700,000 shot.

  "I was the first and only one to step to the plate," the doctor recalled. Without his donation, Dawnell faced a long wait: There are 6,748 people awaiting kidneys in New York State, the New York Organ Donor Network says.

  Successful surgery followed at a Minnesota hospital on June 28, 2001. Batista said he was looking forward to happier times with his now-healthy bride - but his hopes proved futile.

  "Nothing changed," he said.

  Dawnell Batista viewed the kidney as a new lease on life, too. She returned to school to earn a master's degree in nursing, and took up karate, her husband said.

  After an injury suffered while trying to earn her black belt, she began physical therapy - which evolved into an affair with her therapist, Batista said.

  "It put a hole in my heart that still exists," Batista said of his wife's disloyalty. "To this day, I'm a man of pride. To be betrayed that way, humiliated - I can't even began to say."

  Dawnell Batista was not at her home Wednesday. Her lawyer did not return a call for comment.

  Batista said the ongoing ugliness began on day one of their divorce.

  "She slapped me with divorce papers when I was in surgery trying to save another person's life," he fumed.

  The case was apparently the first of its kind in New York State. Julia Rivera of the New York Organ Donor Network said she never heard of anything similar.

  "This is extraordinary," the spokeswoman said.

  Batista insisted his cash-for-kidney claim was a direct result of his wife's behavior. He said he hasn't seen his three daughters - ages 14, 11 and 8 - in months.

  "This is my last resort," Batista said. "I didn't want to be in the public eye."

  Despite the animosity, Batista insisted he would donate the kidney all over again to his hopefully soon-to-be-ex. He fondly recalls a visit to her room on the day after surgery.

  "There was no greater feeling on this planet," he said. "As God is my witness, I felt as if I could put my arm around Jesus Christ. I was walking on a cloud."

  lmcshane@nydailynews.com
   
 2. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #2
  Jan 9, 2009
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Tulisikia story hii kwenye morning news na mama watoto wangu tulicheka sana na kukubaliana kuwa doctor huyu ana haki ya kuchukua figo yake na kuendelea na maisha yake kama vile hajawahi kuwa na mke.
   
 3. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #3
  Jan 9, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Hii kitu kali hata sijui kama kitaeleweka jamani!

  ...mambo ya 'half by half ' hayo.
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,688
  Likes Received: 82,540
  Trophy Points: 280
  Huyu doctor kajiharibia sana. Pamoja na kuwa wanaachana na mkewe kwa madai kuwa katembea nje ya ndoa, lakini anasahau kwamba ni Mama wa watoto wake hivyo ombi lake linaweza kuwa mwisho wa uhai wa Mama wa watoto wake, lakini naona ameweka hasira mbele na hata hakuwa na muda wa kuchanganua kwa kina athari kwa watoto wake ambao ni bado wadogo ya kuishi bila kuwa na Mama pindi atakaporudishiwa hilo Kidney.
   
 5. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #5
  Jan 9, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  ..waswahili husema hasira hasara.Jamaa hafikirii hio ishu kua the woman is the mother of his kids na anaona heri afe ili apate kutembea na nyumba ndogo bila wasi.

  ...sad state of affairs.
   
  Last edited: Jan 9, 2009
 6. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #6
  Jan 9, 2009
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280

  Una point sana, nadhani mimi na mke wangu tulilizungumza hilo kwa mwono wa mapenzi tu, nadhani hatukuliangalia kwa mapana kama wewe ulivyofanya. Tulisema kuwa kama jamaa alimpenda mke wake hadi kusema wagawane uhai kwa yeye kumpa figo yake moja kusudi wandeleze mapenzi, halafu mama baada ya kuwa fiti anapeleka mapenzi nje, basi kulikuwa hakuna haja ya mapenzi hayo kuwapo in the first place, ndiyo maana tukasema sasa bwana ana haki kuchukua figo yake.

  Hata hivyo ukiangalia jambo hili kwa kina sana linaweza kuwa gumu kidogo. Huenda baada ya DK kuondoa figo yake moja akawa hawezi tena kukoleza majambo kama zamani teh!!!!!!! teh!!!!!!! teh!!!!!!! teh!!!!!!! Na mama naye baada ya kupata figo za kiume akawa anataka kila saa teh!!!!!!! teh!!!!!!! teh!!!!!!! teh!!!!!!! teh!!!!!!!

  Kwa vyovyote vile, kuwa na watoto isitumike kama kigezo cha akina mama kuwa-betray waume zao. Kwa huyu bwana kutoa figo yake kuokoa maisha ya mke wake, inaonyesha kuwa alimpenda mke wake huyo na sidhani kama angem-betray namna ile, hasa kwa mtu wanayefahamiana. Ukitaka kuonja lubisi usinywe iliyopikwa nyumbani kwako au kwa jirani; nenda mbali sana kiasi kuwa hata spouse wako asijue ulikunywa nini na wapi.
   
 7. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145

  Jamani ndo maana hawa jamaa huwa wanandaa pre-nuptial agreement kukwepa vitu kama hivi. Ndoa ni kama mikataba mingine na mojawapo y a vifungu vya ndoa ni suala la utmost good faith, loyalty and good care.

  Tukija kuhusu suala la figo nafikiri jamaa ni kuwa anahasira na kutaka PR tu, kwani alitoa figo yake kama sadaka ndani ya wingu la upendo na mepenzi kwa mke wake. Cha kusikitisha ni kwamba mtaraka wake mtarajiwa anamoyo mweusi na hajutii kitendo chake cha kuamua kuanzisha nyumba ndogo.

  Ushauri, wewe , yule na hatakayesoma tuwe makini na maamuzi yetu katika ndoa. Ndoa ni karata tatu.

  Wakatabahu,

  Shadow
   
 8. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Jamani huu ni uungwana?? Kuna baadhi ya watu kama mlikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi mnanunuliana vijizawadi, haya mkija kukosana mkaachana, mwenzako anaanza, 'nirudishie saa niliyokununulia sijui viti, gari ...duh!

  na haya nayo mtasemaje?
  ********************************************

  A US man divorcing his wife is demanding that she return the kidney he donated to her or pay him $1.5m (£1m) in compensation.

  Dr Richard Batista told reporters that he decided to go public because he was frustrated at the slow pace of divorce negotiations with his estranged wife.

  He said he had not only given his heart to his wife, Dawnell, but donated his kidney to save her life.

  But divorce lawyers say a donated organ is not a marital asset to be divided.

  Dr Batista married Dawnell in 1990 and donated the kidney to her in 2001. She filed for divorce in 2005 and a settlement has still not been reached.

  'Betrayal'

  He told reporters at his lawyer's office in Long Island, New York, that going public was a last resort.

  I felt humiliated, betrayed, disrespected and disregarded

  Dr Richard Batista
  "There is no deeper pain that you can ever express than betrayal from somebody who you love and devoted your life to," he said.

  He said he had been prevented from seeing their three children for extended periods.

  "I felt humiliated, betrayed, disrespected and disregarded for me as a person, as a man, as a husband, as a father."

  Dr Batista's lawyer, Dominic Barbara, said his client was "asking for the value of the kidney" that he gave his wife.

  A lawyer for Mrs Batista said: "The facts aren't as represented by Dr Batista. We will be addressing the issues before the judge within the next few days."
   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...ooohhh yes sahihi kabisa, hata ningekuwa mimi ningelidai hilo figo, tena akilirudisha nalikaanga halafu nalitafuna mbele yake.
   
 10. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2009
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  kweli kabisa...ndio sababu nakubaliana na usemi kwama huyu mume "has one kidney and no heart"
   
 11. M

  Mahmoud Qaasim JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2009
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 922
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 60
  We unaongeza mpya, kipi kinakupa dalili kuwa Dokta ananyumba ndogo? ama hisia tu. sio kila tatizo la ndoa basi Mume anataka nyumba ndogo, tuache fikra hizo. wanaume(ukiweka pembeni wenye kuendekeza uzinzi) huchukia sana nyumba ndogo ila huenda huko baada ya nyumba kubwa kutompa faraja anayohitajia. hivyo sio kila mwenye nyumba ndogo hupenda kuwa nayo bali huangukia huko kutokana na matatizo ya Ndani nyumbani. sasa huyu daktari akiwa na nyumba ndogo baada ya mkewe kumuudhi kuasi hicho utamlaumu? japo si sahihi kosa kuliongezea kosa juu yake.
   
 12. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...(No offence intended) ...ndio maana Adam naye alisalitiwa na Eve baada ya kutolewa ubavu wake mmoja.
   
 13. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Hiyo stori inanikumbusha jamaa mmoja pale magomeni mapipa siku ya mkesha wa mwaka mpya 1996 alimvua demu wake nguo alizomnunulia hadharani baada ya kumkuta yuko lango la jiji kwenye dansi la Maquiz na njemba nyingine, ilikuwa kitimtim cha aina yake...Wadada nao utulivu tatizo wkati mwingine!!! Acha Dr. adai figo lake kama yeye amehatarisha uhai wake then demu anapeleka penzi kwa wengine?!
   
 14. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #14
  Jan 10, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kwanini tunamuandama jamaa tu? Kwani huyu mama hakufanya kosa ? kumsaliti mwenziwe kwa kisingizio cha uhuru basi jamaa ana uhuru pia wa kudai vyake.
  Jamaa kama alikuwa na moyo wa kusaidia figo lake basi kulikuwa na listi kubwa ya wanaotaka lakini aliamuwa kumsaidia mkewe kwa sababu kuihuisha ndowa . Ndowa kaikosa kipi kifuate? Iliyobaki ni ridhaa ya moyo wake na ataridhika akirejeshewa figo yake au pesa. Mimi sioni tatizo kwani kwenye ndowa lazima sote tujitolee muhanga ili idumu na jamaa alitowa figo na bibie alilazimika kujitowa muhanga kwa upande wake.
   
 15. K

  Komavu Senior Member

  #15
  Jan 10, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 114
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35


  Mkuu kuchuguu,

  Ni kweli BAK na point lakini nafikiri jamaa ameingiwa na hasira kali na kaamua
  liwalo naliwe arudishe figo yake. Sio siri hata mimi ningeingiwa na hasira sana kwa maana kitendo cha kujitolea figo chenyewe ni ujasiri wa hali ya juu na vilevile kwa njia moja au nyingine ni kujihatarishia maisha yako, sasa kama jamaa alirisk to that extent kwanini huyo bibie anashindwa kuuona huo uungwana.

  Kuna mambo huwa yanauzi sana, kutoa gift kama gari, nyumba, etc si deal sana kama kujitolea kiungo chako cha mwili, huo nauita ni upendo wa huyo doctor uliotukuka kwa huyo bibie na bibie karudisha kwa kumfanyia ukatili
  wa hali ya juu, alaaniwe sana huyo bibie.
   
 16. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #16
  Jan 10, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Kazi ipo! Figo limepandikizwa ndani ya mwili wa mdaiwa..sasa kulirudisha itabidi upasuaji .. ambao haufanyiki bila ridhaa ya mpasuliwa.
  Kuna masuala ya maadili ya kitabibu na haki za binadamu hapa maana kupeana figo huko kulifanyika katika misingi ya kibinadamu,na si kama biashara au mkataba wa kurudishiana pale the relationship turns sour!
  Fundisho hilo.
   
 17. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #17
  Jan 10, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Lakini si maandiko yanasema samehe saba mara sabini.Na lipa wema sikuzote na utaishi kwa amani. Zaidi ya yote hayo Daktari alitoa zawadi na zawadi hiyo labda iwe imeandamana na masharti (katika maandishi) basi anaweza kurudishiwa pesa kama mbadala wa figo.

  Najua kuna watu wameshaanza kubadilisha hati za nyumba, magari na mali nyingine za thamani kutoka majina ya wenzi wao lakini wajue kwamba sheria hipo ya kuwalinda hao wenzi wao.
   
 18. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #18
  Jan 11, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ....duuh!! wewe mbu wa hatari sana... unanikumbusha aina fulani ya mbu tuliokuwa tunawaita 'alfonso'..... hawa walikuwa nuksi kichizi... wakikuta chandarua kimechomekewa ndani ya kitanda wanakinyanyua na ku-act kama gate-keeper kwa kuruhusu wenzao wapite kisha wanakichomekea back....vurugu linalofata ndani ya chandarua usipime!! :)
   
 19. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #19
  Jan 11, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...:D ha ha ha.... na kweli SteveD, safari kama hizo mimi na ma-vampire wenzangu tunabeba chumvi na pilipili!
   
 20. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #20
  Jan 11, 2009
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Unajua kwa vile Dk alishota sehemu ya mwili wake akampe mkewe aliyempenda kwa moyo wake wote, nahisi kuwa anajisikia kuwa na yeye aliliwa uroda na huyo therapis na hiyo inaweza kuwa inamwumiza zaidi mwanaume huyu.


  Nikirudi nyuma, hata mimi ningeomba figo yangu hata kama najua hataurudi, nitapenda mwanamke mwenyewe na hata huyo mwanaume wake mpya ajue kuwa anaishi kwa kutumia kiunga chnagu bila ridhaa yangu. Mojawapo ya makubaliano katika donations za organs ni kuwa donor aridhie organ yake kutumiwa na mtu mwingine.
   
Loading...