LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,656
Tofauti zaweza kuwepo kutokana na sababu kadhaa pengine Hao wenye E kufikia hapo walifanyiwa standardization au uzito wa mtihani ulikua wa kawaida haukuwahitaji wasomi wafikie kiwango E' Tunaposema msome muache mapenzi, muache ushabiki wa team kiba v/s diamond, muache kushinda mitandaoni huwa tunasema kwa dhati ili mjiweke kwenye nafasi nzuri isiyohitaji mtu wa kuja kukupindua na kubabaishwa mfano ungegonga A au B zote hakuna upepo ungekuja kukupindua kama ilivyo kwenye E,hii tume ya vyuo vikuu tcu, wanaruhusu mhitimu wa kidato cha sita mwaka jana kuomba kudahiliwa kwa minimum qualification entry ya C mbili tu, ambazo C ya mwaka jana ilianzia 40-49. na sasa tcu wananyima hizi three za mwaka 2016 zenye E, mfano three zenye DEE, EEE, EES kudahiliwa. mwaka huu E kiwango chake ni 40-49. hoja angu ni kwamba tofauti ya mtu mwenye C mwaka jana na mtu mwenye E mwaka huu ni ipii? haki ipo wapi? wanasheria hawalioni hilii ......