ommky
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 459
- 225
hii tume ya vyuo vikuu tcu, wanaruhusu mhitimu wa kidato cha sita mwaka jana kuomba kudahiliwa kwa minimum qualification entry ya C mbili tu, ambazo C ya mwaka jana ilianzia 40-49. na sasa tcu wananyima hizi three za mwaka 2016 zenye E, mfano three zenye DEE, EEE, EES kudahiliwa. mwaka huu E kiwango chake ni 40-49. hoja angu ni kwamba tofauti ya mtu mwenye C mwaka jana na mtu mwenye E mwaka huu ni ipii? haki ipo wapi? wanasheria hawalioni hilii ......