Tokeo la form 4 tayari kwaniHabari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima.
Nina mdogo wangu amepata division II ya 21 anataka kusoma CBG Kwenye combination ana DCC Je anaweza kuchaguliwa shule ya serikali bila utata?
Wajuzi mnisaidie kwa hili....
Duuuh... Yaan private candidate kwa form 5 na six?Zamani sawa.kwa sas alazima masomo.ya combination yawe na credit
Vinginevyo kuna kautaratibu flani hivi anasoma kama private candidate or somthing like that...kwa hapo sina uhakika
Ila kusoma CBG hawezi...
Aende private sa hv CCC ,Haiwezekani kwa namna yoyote ile?
Kuna kautaratibu ambako nimekasikia private huko ili mtoto aweze soma hiyo CBG lakin kupangiwa asome sina uhakika japo miaka ya nyuma ilikua anaendaDuuuh... Yaan private candidate kwa form 5 na six?
Ni wa kike ama kiume. Kama ni wa kike atachaguliwa. Manake serekali inatoa vipaombele kwa watoto wa kike kwenye course za science. Kama ni wa kiume imekula kwakeHabari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima.
Nina mdogo wangu amepata division II ya 21 anataka kusoma CBG Kwenye combination ana DCC Je anaweza kuchaguliwa shule ya serikali bila utata?
Wajuzi mnisaidie kwa hili....
Nje ya madaHabari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima.
Nina mdogo wangu amepata division II ya 21 anataka kusoma CBG Kwenye combination ana DCC Je anaweza kuchaguliwa shule ya serikali bila utata?
Wajuzi mnisaidie kwa hili....