Division 1 za sasa na za zamani zipi zaidi?

Division 1 za sasa na za zamani zipi zaidi?

Za zamani zilikuwa unazi fightia sana, juzi juzi nimepewa interview maswali unakabidhiwa ufanye then urudishe answers after 2hrs. Ilikuwa open exam,Sikufanya hata swali moja kwa akili zangu , nilifungua browser nikawa nampa Chatgpt alitema kila jibu, kazi yangu ikawa Editing tuu na kuremba remba.
 
Hata zamani pia tulifanya Practical ya Pendulum ku determine acceleration due to gravity bila ku swing pendulum ball….Necta 2006
Nakumbuka kama momentum ile
Clockwise= anticlockwise

Kubalance ile ruler pale chini egemeo ni kitriangle cha mbao😂😂Walah kila mda ruller ipo chini Mpaka mtu unakadiria tu.
 
Elimu imekua rahisi now.

Topic nyingi zimetolewa advance na kupelekwa respective programmes chuo.

Mfano. Physics, Bios topics nyingi sana zimehamishwa kilichobaki ni unagusa tuu A hii hapa but knowledge sio pana.
 
Nakumbuka kama momentum ile
Clockwise= anticlockwise

Kubalance ile ruler pale chini egemeo ni kitriangle cha mbao[emoji23][emoji23]Walah kila mda ruller ipo chini Mpaka mtu unakadiria tu.

Kwa kweli hata zamani kwenye prac tulikuwa tuna forge sana, siku hizi elimu imeathiriwa na siasa plus biashara.
 
Yaan ilivo ss ivi walim wanaosahihisha mitihan wanaambiwa na wizara pamoja na necta kwamba mtt akiwa na idea na swali kidgo inabid umpe tick na marks zote tofaut na zaman kwa iyo shida imekuja kwenye usahihishaji
 
Kuna ukweli kwenye hili? Maana Kazi za mitihani za Baraza ni Siri, sasa ni Nani alieapa kabla ya kwenda marking kwamba atatunza Siri halafu akuambie wewe. Kama alikuambia basi huyo mwl hana maadili na watu wa namna hiyo hawaaminiki.
 
We muhimu uwe na pesa tu, la sivyo kazi yako itakuwa kama mwijaku tu una division one na first class lakini unakua chawa wa darasa la saba.
Na wewe unaamini Mwijaku ana. First class cheti alivhoonyesha kwa uwazi na mbwembwe ni hgl advance vingine janja janja
 
Matokeo ya Form 6 yametoka, tena Kuna shule nyingi ambazo Wanafunzi wote Wamepata division One tu. Mchepuo wa PCB Kuna Division 1.3 Kama zote.

Zamani ilikuwa ngumu sana kuona Ufaulu wa namna hii. Je ni kwamba Wanafunzi wa Siku hizi ni Smart zaidi?

View attachment 2687068
1. Mitihani inavuja Sana, mm nimesoma shule ya serikali miaka 8 nyuma (advance) nimelishuhidia ili, tumewahi kukaa na mitihani (soft copy) masaa 24 kabla ya mtihani kufanyika, ikiwa hivyo ni government , private itakuwaje??

2. Kwa Sasa NECTA wamerahisisha sana katika utungaji na kusahihisha mitihani (siasa imeingia)

Kufaulu Sana hakumaanishi watu wapo vizuri, kwa walimu watathibitisha

Wanafunzi hufanya Sana vibaya mitihani ya shuleni + mock nk ila NECTA wanatusua

Unakuta matokeo mkoa mzima hamna zero

Mfano, mwaka huu ufaulu ni 99%...

Kwa akili zipi??
 
Elimu imekua rahisi now.

Topic nyingi zimetolewa advance na kupelekwa respective programmes chuo.

Mfano. Physics, Bios topics nyingi sana zimehamishwa kilichobaki ni unagusa tuu A hii hapa but knowledge sio pana.
Acha uwongo mwalimu
 
Pia watoto wa sasa ivi wanazaliwa na akili nyingi
Mkibisha basi ila mkumbuke zamani unatungwa mimba unapambana na congenital malaria measles sjui pepopunda mama anakulisha uji mwingi ukue mwili
Hawa sa siku hizi akili zinadevelope haraka pia kutokana na utandawazi wanakua na exposure hamuoni wanavokariri nyimbo haraka na kucheza magem kama wakubwa
Siku hizi kuhesabu unajulia nyumbani kabla ujaanza hata skull
 
✊✊✊
 
Congenital Malaria haaahaaaaa
Halafu unazaliwa unachelewa kulia sababu mama alipata kaobstruction kidogo na hakukua na hospital karibu,unatoka umechoka tunaita Low Apgar Score
Unapigwa na measles na Severe Acute Malnutrition,unadumaa
Kila mwenyekiti sijui mjumbe akipita kupima watoto wa kuanza shule unafeli kwa sababu mkono wako haufiki kwenye sikio sababu ya udumavu
Kwa hali hiyo ilikua lazima kusoma kuwe kugumu
 
Pia watoto wa sasa ivi wanazaliwa na akili nyingi
Mkibisha basi ila mkumbuke zamani unatungwa mimba unapambana na congenital malaria measles sjui pepopunda mama anakulisha uji mwingi ukue mwili
Hawa sa siku hizi akili zinadevelope haraka pia kutokana na utandawazi wanakua na exposure hamuoni wanavokariri nyimbo haraka na kucheza magem kama wakubwa
Siku hizi kuhesabu unajulia nyumbani kabla ujaanza hata skull
Bila kusahau uzazi wa operations unatoq sn wtt wenye akili maana wanakuwa hawajapitia misukosuko ya Labour room 😂
 
Kiukweli tupo katika kipindi Cha easy/automatic world, technology imerahisisha mambo meng sana sio tu kwenye elimu Hadi nje ya elimu. Zamani tulipita katika manual world kila kitu lazima ustruggle mfano usomee kibatali, miguu kwenye dish, notes shida, walimu wachache, umbali wa shule nk

My take! One ya zamani hustling yake ilikuwa ni ngumu kulingana na mazingira na ikawa na thamani kubwa sana. One ya sasa sio ngumu kuipata kwasababu ya resources zipo nying sana

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom