GemMaster II
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 3,600
- 11,304
AiseeKuna ukweli kwenye hili? Maana Kazi za mitihani za Baraza ni Siri, sasa ni Nani alieapa kabla ya kwenda marking kwamba atatunza Siri halafu akuambie wewe. Kama alikuambia basi huyo mwl hana maadili na watu wa namna hiyo hawaaminiki.