Divine matrix under entangled reality

Haya mambo nikiyasoma huwa nabaki neutral kimtizamo!! sasa nauliza ipi nafasi ya hawa wanaoitwa watu wa iman mf waganga,wahubiri na hawa wanaozungumzia kuhusu nyota za watu na athari zake ktk maisha yetu?
Kama mimi ndiye mtengenezaji wauhalisia wangu kwanini unaweza kufikiria kitu au kukihitaji iwe ni kwa kuomba au kutafuta kwa bidii kwa muda mrefu(vibration) na usifanikiwe?je kuna sheria uliyokiuka mpaka inakulazimu urekebishe kwanza? Kama ndivyo utajuaje kama upo sahihi au haupo sahihi kwenye sheria hizo?
 

kuomba sana hata kwa kukesha hakukufanyi ufikie maximum point of transformation success if at all utakuwa hujafikia threshold level ya frequency kubwa katika kuleta mageuzi ya kimaono..

Tunaposema vibration frequency ni nguvu ya kuhisi unafeel presence ya kile kitu unachokihitaji bila kuwa na negative mind ( negation)ya kukipata...reffer laws of nature in correspondence to success utaelewa nazumgumzia nini..

Ndo mana watu hawafanikiwi kwa lolote licha ya kudai kuwa wanasali sana na kumwomba mungu kila kukicha


Ukitaka kuelewa soma vizuri universal laws and how to interact with them...

Wapo watu waliofanikiwa kufikia rank kubwa katika kuview things katika quantum level hence kuweza kubashiri maisha yako ya baadae na hao watu tunawaita wasoma nyota au waganga whatever you can call them but kuna njia ambayo either anaweza akaitumia kusoma life pathy yako kupitia higher frequency pathways ili kusoma lower frequency pathway..au yeye mwenyewe akaweza kuview ramani ya maisha yako kwa sababu anakuwa kasha attain maximum ability ya kuvibrate katika highest point hence kuwa na uwezo wa kuview lower life form .

Kumbuka mtu anaevibrate katika highest frequency anaweza soma ramani ya mfumo mzima wa lower frequency life form ya kiumbe yoyote..

Au unaweza ukasoma life pathway ya kiumbe yeyote kwa msaada ya portal entry system kutoka cosmic energy ambapo atakuwa anasaidiwa na device maalumu katika kukuconnect ili uweze kusoma ramani nzima ya lower form life pathway..

hivyo ndo mana kuna watu wanaweza kukupa kipande cha mti mbichi akakuambia nenda nje ukanene yoyote unayotaka yafanyiewe kazi katika maisha yako halafu rudi hapa nitakwambia umeomba nini na kweli utaenda utatamka maneno yako kisha ukirudi ukampa kile kijiti ulichokitemea mate na atakichanganya na vifaa vyake ambavyo ni portal entry kwenye cosmic energy grid na kujikuta akisoma ulichokisema uko ukiwa alone na utashangaaa jamaaa alijuaje...

So hayo ni either matumizi ya vifaa vinavyoweza kuconnect mind yake na cosmic energy ambayo kimsingi ni higher energy frequency vibration inayoweza kufanya tafsir ya consciounsness yoyote iliyopo katika lower vibration..

So ili ufanikiwe ni lazima uvibrate katika highest point of energy ili kufikia ile level ya mageuzi ya kitu chochote katika physical reality la sivyo utakuww unasali na kulia lakini huwez fanya mageuzi ya kitu chochote..

Tafuta uzi humu unaozungumza juu ya laws of the universe and theri manifestation ndo utaweza elewa kwanini binadamu ni personal spect katika Uumbaji wa kitu chochote..
 
huo uzi ebu tuwekee link yake hapaa
 
Ukiyatazama mambo vizuri, ambayo hapa kwenye mada yako imeyaita kama "Nature", "Law of Nature"; " Universe utaona yana-operate "Kiakili.

Jinsi univese ilivyo na inavyofanya kazi utagundua kabisa kama ni jambo la hali ya juu yenye akili - intelligence.

Kama hizi "Laws" zinaweza ku-punish ikiwa uta-violate, inawezekanaje kwamba hazina akili; na kwamba siyo intelligence being, ambayo ndiyo tunaita Mungu?
 

The laws are just forces that govern human( species ) existance...

The controller( universal energy/God) operates through laws that regulate universal frequency zinazomconnect kiumbe yeyote na higher life dimensions..

kwanini ukomalie kuwa huyo mtu muweza wa yote ni mtu kama wewe? hicho ndo watu mnachanganya na hamtajuja kuelewa vzuri hiyo nguvu inayocontrol kila kitu ni ya aina gani...

The creator is just a collection of highly life form dimension ambayo imezungukwa na hizo forces ambazo zipo kwenye higher dimension ...

Narudia tena hakuna kitu kinachoitwa Mungu kinachofanana na umbo la mwanadamu ,but its purely spirit with maximum energy that habitates to higher dimension realm...

wew binadamu ni pure spirit ila hilo umbo ulilonalo ni avator where your spirit landers..

But you are of more spiritual form of energy and not the body you seems to appear..

Animals ,majani ,ndege na aina yoyote ya kiumbe unaowajua ,they are not the bodies as they seemed to appear but pure spirit with different form of spiritual energy dimension.. kila mmoja anavibrate katika frequency flan ndo mana tunakuwa na avator tofauti..

Kila kiumbe kinaexist katikamorphology flani kulingana na dimension awareness flan aliyoiattain...

dont comfuse with the avator bodies of different species.,
 
 
maelezo zaidi mkuu
 
Hili some ungeliendeleza ingekua faida kwa wengi ambao hatujui namna ya kupeleka positive energy to the universe
 
We have to dance and vibrate at highest frequency ili uweze ku attain highest point of consciousness...

Huwez attain maximum energy of transformation ukiwa unavibrate katika lowest frequency
How to dance and vibrate at highest frequency 🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…