Ngoja nimsaidie kujibu kwa ufupi kama ulivyo ulizatuambie tunazipata wapi
Na vipi kuhusu meditation inamchango kiasi gani mkuu ufafanuzi kidogo
kawaida kivipi mkuuNgoja nimsaidie kujibu kwa ufupi kama ulivyo uliza
Meditation/Tahajud
Ni kitendo cha uelekezi wa nguvu pahala sahihi
Ni Nguvu gani hiyo.? Hii inahitaji thread.
Faida mojawapo ni kujitambua
Kuuona ulimwengu katika uhalisia wake
Hii utakupelekea kuwa na hekima na kuona mambo kwa ujumla wake hivyo hutokua chizi wa kimbiza upepo
Ila usihofu maditation si kama inavyoelekezwa kwa mbwembwe humu JF ni kitendo cha kawaida sana
Ni kawaida kwa kuwa tahajud inalenga utulivu wa Akili/ufahamukawaida kivipi mkuu
Ni kawaida kwa kuwa tahajud inalenga utulivu wa Akili/ufahamu
Na katika ufahamu ndipo kulipo hazina tunayohitaji ili kufanikisha adhma zetu
Ila shida inayokumba kizazi hiki kwa sasa_ ni kwamba wakati wa utulivu ni adimu sana kuupata
Mahangaiko yasiyo ya lazima yanatumia sana mda wao uliopaswa wautumie kukuza nguvu zao za ndani
Ni wachache sana wanaobahatika kulitambua hilo
Umenena vyema.Daaah, ni kweli wewe si mwandishi mzuri. Ila mkuu una nondo kibao aisee.
Ndio maana mimi huwa naamini kuwa kama mtu akijua namna ulimwengu unafanya kazi na yeye mwenyewe akatambua ni jinsi gani anatakiwa kuishi kwa kupitia kanuni za ulimwengu atapata kila kitu anachokihitaji. Hatakuwa na haja ya kwenda kanisani ili kufundishwa namna ya kuwa na amani ya moyo na mengineyo, hatakuwa na haja ya kwenda kwa mganga kwa lengo la kusaidiwa matatizo yake mwenyewe...yaani ataishi yeye akiwa mwamuzi mkuu wa kila kitu katika maisha yake yaani kipi kitokee na kipi kisitokee katika maisha yake.
Law of karma inazungumzaje juu ya mtu anaepatwa na matukio mabaya mara kwa mara ( repeatedly ) ilhali hana hatia na society openly ina prove kuwa innocent but hukumbwa na bahati mbaya kwa kufanyiwa mabaya na watu tofauti?The law of KARMA wil judge you,the law states that,WHAT YOU CAUSE WILL HAVE AN EFFECT,IF YOU GO AND DO SOMETHING BAD,THE UNIVERSE WILL DO SOMETHING BAD TO YOU,BUT IF YOU DO SOMETHING GOOD ALSO THE UNIVERSE WILL OFFER GOODS TO YOU..malipo ni hapa hapa duniani manake usemi unaelezea how the law of karma is balancing human existance,
Mtu unapopatwa na matukio mabaya repeatedly haimanishi kuwa law of Karma inakuadhibu....hapana..Law of karma inazungumzaje juu ya mtu anaepatwa na matukio mabaya mara kwa mara ( repeatedly ) ilhali hana hatia na society openly ina prove kuwa innocent but hukumbwa na bahati mbaya kwa kufanyiwa mabaya na watu tofauti?
Bro sijawahi kuyachoka madini yako unayotemaMtu unapopatwa na matukio mabaya repeatedly haimanishi kuwa law of Karma inakuadhibu....hapana..
,Hapo kunakuwa na interphase ya laws mbili...ya karma + law of concentration with vibration..
The more unapokuwa unawaza jambo kwa muda mrefu kichwani mwako ,lile jambo huendelea kutokea maishani mwako kwa sababu ya power of concentration juu ya lile jambo na mind yako itakuwa inalifikilia lile jambo kila wakati hence kusababisha vibration ya frequency range maalumu kila siku juu ya lile jambo then attraction ya jambo lile itaendelea kutokea hatimaye kuwa jambo la kudumu periodically...
Ndo mana tunashauliwa tusiwe tunaweka mambo kichwani kwa muda mrefu...
Unapopatwa na jambo baya maishani mwako,usiliweke moyoni kwa sababu litafanya mwili au nafsi yako iwe inatuma vibrations kwenye mind yako kisha memory centre kuhifadhi kwa muda mrefu kitu ambacho kitaifanya akili yako kuwa na concentration juu ya ile hali hence the Universe will decide to send the response towards unachokifikilia kwa muda mrefu ....
Concentration ya jambo lolote hile kichwani mwako hufanya mind yako itume frequency kwenye Universe ambayo ndo giver wa kila kitu kwa kutumia vibration flani ambazo zimecreate frequency maalumu ya attraction hence Utajikuta unaishi kwenye maisha ambayo hayabadiliki kila siku...kama unawaza kuhusu maisha magumu ,mind yako itaconcentrate na maisha magumu ,kila dk utakuwa unawazia maisha magumu hence kupelekea kugenerate strong vibration frequency towards neno lile hence frequency hizo hutumwa kwenye Universe( Giver/ God) hence kupelekea kupewa kitu kile kile unachokiwaza...
Mtu aliyefanikiwa kimaisha hasa mali na pesa ni ngumu kurudi kwenye umaskini kwa sababu mind yake inakuwa imeconcentrate na pesa na mali hence the universe itakuwa inapokea postive vibrations hence kurespond kwa kumtengenezea maisha yale yale anayoyafikilia kwa muda mrefu...
Mtu ambaye hana kitu( maskini) ataendelea kupata taabu kwa sababu kila mara anawaza neno umaskini,akikosa kidogo tu anakuwa analalamika hence kupelekea kugenerate negative vibrations ambazo zinapelekea kupata negative response kutoka kwenye universe( Giver).
So we should think in a positive way rather than keeping blamming for everything...
Ngoja nimsaidie kujibu kwa ufupi kama ulivyo uliza
Meditation/Tahajud
Ni kitendo cha uelekezi wa nguvu pahala sahihi
Ni Nguvu gani hiyo.? Hii inahitaji thread.
Faida mojawapo ni kujitambua
Kuuona ulimwengu katika uhalisia wake
Hii utakupelekea kuwa na hekima na kuona mambo kwa ujumla wake hivyo hutokua chizi wa kimbiza upepo
Ila usihofu maditation si kama inavyoelekezwa kwa mbwembwe humu JF ni kitendo cha kawaida sana
Tupe wewe maana yake kwa kiswahili mkuu kila anaeanzisha uzi humu anaiita tahajudi. kwa upeo wako inaitwaje kwa kiswahili?Halafu hii "Meditation" kusema kwa Kiswahili ni "Tahajud" hili jambo mmelipata wapi ?
Tupe wewe maana yake kwa kiswahili mkuu kila anaeanzisha uzi humu anaiita tahajudi. kwa upeo wako inaitwaje kwa kiswahili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu kwaiyo meditation inaitwaje kwa kiswahili?Kwanza suala la kielimu ambalo liko wazi tayari hutakiwi kuniambia nilizungumzie kwa upeo wangu kwani hapa hatuko katika mashauriano bali tupo kujadili jambo ambalo lipo tayari na elimu yake iko wazi. Ulitakiwa tu uishie kusema hivi,nikupe maana ya tamko Tahajudi kilugha au kisheria.
Tahajudi ni tamko la kisheria lenye asili ya kiarabu. Tamko hili lina maana ya kilugha na kisheria. Kilugha ni kutafakari na kisheria ni ibada maalumu inayofanywa na waislamu usiku wa manane. Ibada hiyo mwezi wa ramadhani huitwa TARAWEHE na siku za kawaidwchuitwa TAHAJUDI.
Na Allah ndio anajua zaidi.
unawezaje elewa kitu ambachonhukifahamu kama anayekueleza anakifahamu...??Sijui, hapa inabidi tuwaulize wanao jua.
Kwahiyo umekataa maana ya neno ambalo na wewe hujui maana yake?Sijui, hapa inabidi tuwaulize wanao jua.