Divine matrix under entangled reality

Post zako za mwanzoni nilitaka nikuombe uishie hapo hapo ulipofikia kwenye hizo study zako maana ulikua unajiuliza maswali mengi sana hadi mengine yasiyo na ulazima - niliona dalili za kichanganyikiwa zimekufika.

Ila kwa post hii ya sasa naona umeanza kukaa sawa na nahisi kuna kitabu kimoja kati ya ulivyovisoma nimekisoma pia kwa kuconnect dots japo sijakimaliza.

Nilifika katikati nikaanza kuona mauzauza nikastop kuendelea kukisoma. Hebu ngoja niendelee sasa kuperuzi kuna vitu umevitaja hapo taa ikaniwaka kichwani na hizo kurasa zikanirudia kwy fikra.

Asante kwa kuniboost!!
 
sawa sawa
 
tatizo unaenda kutafuta ushahidi google huko week nzima ndo unakuja with nothing minded about the system..umekomaa pia na dini ndo mana huwezi elewa chochote,,,,huwa sibishani na watu wa namna hii,,,,go and dig the reality then ndo urudi sio unajichimbia week nzima na bando lako la jero unarudi hapa...very sory on that
 
Hahahh.. sawa
 
Hahahh.. sawa
the're is no need to argue one another on that,the matter is to share every aspect of reality and secrets that are still parodoxy to human concious,,,,,,,

The universe has a lot of informations and still MORE yet to be put clearly to the society,,,,thats why we 're here to share the secrets of some of isues that had been put under limitness to human awareness.....

We argue and challenge by facts, the source you dig your information maybe irrelevant with my source and vice versa.....

So learn how to judge your knowlege and awareness on how things go and operates one day you may attain something and shift your concious mind from wrong direction to a positive direction,,,we learn by mistakes,no one who is perfect from point of reality simply because we have not tapped fully within the universal concious of awareness and perfectnesss

Hata mimi mwanzoni nilikuwa kama wew nikisoma kitu najikuta nakijua mimi tu kumbe i was wrong somewhere baada ya kuruhusu mind yangu kuwa flexible as flux like a magnetic field ndo nikajikuta naanza kuelewa namna how to dig and get realistic informations concerning reality of anything....

Dont allow your mind rest on the current information you attain somewhere,allow it to dig more on the reality,

you will finally land on getting the reality....am not here to crush your arguments but to let your mind think in molecular level and not at surface level....very sory for this article to you..
 
Nawashukuru sanaa kwa kinipa elimu ambayo sikuwahi kuipata popote kule sio chule sio chuo wala sio kwenye dini nimekuja kuipata hapa Jamiiforums,nawashukuru sanaa kwa elimu mlionipa ndio nimeelewa sasa kwanini mtume Muhammad alisema tutafute elimu mpaka uchina
 
karibu sana....
 
Sometimes great mind can be a great curse

The best evidence of that is this thread

Great mind can lead you into judging the existence of god and his power

Anyway there are some matter about nature are beyond our inner understanding and we have to accepts it

There is great difference between man 's mind and that of god

There are so many thing that we are not supposed to know in deep no matter how hard we try

God put a limit for a reason
 
UMENIWAHI MKUU HII MADA NILITAKA NIILETE HAPA...ULICHOKISEMA NI UKWELI KABISA KUNA AKILI MOJA INATU CONTROL WOTE.HII SIRI INAFICHWA NA KANISA...
ROMAN CATHOLIC HII TAASISI IMEFICHA VINGI SANA......
...iweke tu mkuu,japo kwa ufupi
 
UMENIWAHI MKUU HII MADA NILITAKA NIILETE HAPA...ULICHOKISEMA NI UKWELI KABISA KUNA AKILI MOJA INATU CONTROL WOTE.HII SIRI INAFICHWA NA KANISA...
ROMAN CATHOLIC HII TAASISI IMEFICHA VINGI SANA......
mkuu ilete tu, watu wataongezea mengi hii ndo namna ya kujifunza na kupeana mengi yaliyo nyuma ya pazia..
 
Mmoja wao ni huƴu!! Tafakari..View attachment 828030
 
We are creator
 

Attachments

  • soulguidance-20180806-0001.jpg
    96.8 KB · Views: 128
Yote kwa yote ni kazi za kishetani kuutawala ulimwengu...na yuko speed sana akijua mwisho wake u kariɓu(kumbuka mwaka 1 sawa na miaka 1000 kiroho) ..hao wenye siri ni mawakala tu wanaotumiwa ndio maana wakivujisha wanakutana na nyundo(kifo cha kujitakia) .. Reference ya material unayotumia kuuzungumzia siri za wanadamu/viumbe hao zimeelezwa kwenye vitabu vya dini...sheria zinazowekwa na kanisa ni mapokeo ya wanadamu hao hao kama hao wanaoweka vitu kuwa siri kumrahisishia shetani kazi yake..(kwa maana anayeficha siri anaogopa wapinzani wake kujua akaharibu mipango yake na kama hiyo siri ingekuwa ya jamɓo jema isingekuwa siri ila ni kwa saɓaɓu ƴa jamɓo ovu kwa wanadamu ndio maana inafichwa kwa maana wakijua watafuata mɓinu za kuziepuka ) huko marekani dada mmoja anaitwa sherrƴ shriner kaandika articles kibao kuhusu hao jamaa na mɓinu ya(kujaribu) kuwazuia kwa sasa ni marehemu...alifikia hatua ya kutengeneza kifaa kinachoitwa orgone blasters kuzuia baadhi mbinu zao hao watu/viumbe wa/vya siri kumteka binadamu....wakati anaendeleza harakati bahati mbaya akafariki na mambo mengi sana ameelezea in a positive way.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…