Mkuu, huo utapeli wenu utawatoka siku si nyingi. Kwanza unadanganya hadharani kwamba NYAMITWE maana yake ni TAPELI, duh ! Umezidi sasa. Kwa taarifa yako, leo barozi wa Tanzania nchini Burundi akizungumza wilayani kasulu wakati akikabidhi madawati, amesema hivi, Burundi amani imejaa, hakuna tatizo lolote kwa hiyo wawekezaji kutoka Tanzania waende wakawekeze Burundi kwa maana yanayozungumzwa na kuandikwa kuhusu Burundi na viongozi wake ni uzushi tu. Kama ni masuala ya watu kuuawa, watu wanakufa kila mahali. Hakuna nchi yoyote duniani inayokosa wendawazimu. Kwa Rwanda wendawazimu ni paka, wewe na murutongore mkisaidiwa na wahuni wenzenu kuua raia wasiokuwa na hatia. Kwa mfano, Tanzania kwa sasa kuna mauaji ya kihuni yanayofanywa na wahuni kama wewe, je, nako hakuna amani? Mwanza watu wamechinjwa kama kuku, Tanga watu wamechinjwa kama mbuzi, Dar, mlipo wewe na murutongore watu wanachinjwa na kuchomewa ndani ya nyumba zao, does it justify hakuna amani Tanzania ? Marekani watu wanauwawa hovyo, amani haipo? Wacha nikuambie, kelele zote mnazopiga, ni ukabila tu. Watusi mnajiona mmezaliwa kutawala,hata mkishindwa kwenye sanduku la kura mnatafuta namna ya kupindua. Kinachomponza nkurunziza ni kabila lake tu hamna kingine. Sasa sikiliza, mtapiga kelele sana, nkurunziza atamaliza muda wake wa uongozi na 2020 uchaguzi upo, nendeni mkamchague mtusi mwenzenu. Mwambie Buyoya, mwambie sinduhije, zama za kupindukia ikulu kwa kupitia dirishani HAZIPO, zashilaga!