Divide and rule?

Divide and rule?

Hapana Braza.
Yule hawezi kusoma pale, High School tu kasoma Marekani Chuo ndiyo asome pale?
Anasoma Political Science SMITH COLLEGE huko Massachusetts.

Hivi ndugu yangu mchambawima1 mbona kipindi kile Kagame alikuwa anamficha sana binti yake?
Na kwanini shule asisome Rwanda?
kwani nani kakuambia ni yeye peke yake? kumbe haujawahi kusikia Presidential scholarships program iliyoanzishwa na Mh. Kagame? Rwanda mpaka leo bado tuna struggle kutengeneza vijana wetu kwa kila njia... hebu ona hapa... Bridge2Rwanda
 
Teh teh teh! Acha kabisa! Tena acha!
Kama ilivyokuwa Soviet Chekas ndivyo ilivyo Rwandan NISS kwa sasa!
Na Mchambawima asiseme hapa, jamaa wako suspicious na wageni kinoma.
Sasa wewe ingia kule dhania uko ubungo ropoka uone utavyostukia uko rumande.
lol! acha kumtishia minyau Masunga Maziku, ndio maana nasema umetutupa sana! we unajuwa fika huyu ndugu yetu anatatizo la kuchukulia mambo kijuu-juu na kuanza kuhamaki kabla ya kuelewa jambo kiundani! sasa badala ya kumuacha aje kutembelea kama alicyo ahidi, we unaanza kumtishia! hebu nikuulize nchi gani isiyo suspicious na wageni? tofauti ni kwamba huku tunatilia maanani zaidi! na hiyo ni poa mkuu, kwani inaturinda -ve forces kama kina jMali, Alshabab, ISIS na wajinga-wajinga wengineo
 
Bado tunahitaji mchango wako wa mawazo mkuu. Hao jamaa wanakuua wakiwa wanakuchekea. Nenda kimyakimya, ondoka kimyakimya. Hiyo tu kumuahidi utamtafuta, mwenzako keshaandaa zana za kukukarabati.
mkuu MALCOM LUMUMBA nikikuambia warundi wameanza kuchanganyikiwa utaniona wa hovyo? huyu mshenzi angejuwa nshapokea ndugu na marafiki wangapi hata mda wake asingeupoteza hivi! nyie mnawaza mauwaji tu? we ngoja Masunga Maziku atakuletea habari kutoka mille collines!
 
Magufuli does not have any authority on issue pertaining other countries, However, Nkurunziza should step down if he truly loves his country. There is no reason for him to continue cling on power yet he was a president for two terms. In fact, his stubborn refusal for peace talk in his country is a conspicuous indication of greedy.
 
Magufuli does not have any authority on issue pertaining other countries, However, Nkurunziza should step down if he truly loves his country. There is no reason for him to continue cling on power yet he was a president for two terms. In fact, his stubborn refusal for peace talk in his country is a conspicuous indication of greedy.
Hi five, you nailed it! jMali vyuma Victoire Masunga Maziku murutongore Koba MK254
 
mkuu MALCOM LUMUMBA nikikuambia warundi wameanza kuchanganyikiwa utaniona wa hovyo? huyu mshenzi angejuwa nshapokea ndugu na marafiki wangapi hata mda wake asingeupoteza hivi! nyie mnawaza mauwaji tu? we ngoja Masunga Maziku atakuletea habari kutoka mille collines!
Afadhali yako unaetukana wenzio, mara nyingi mwezi ukiwa mchanga hoja zinakuisha unabaki kitukana tu. Hilo jamaa lako murutongore bora mngeliondoa front line maana linawaharibia kwelikweli. Halina hoja kazi kuandika pumba tu.
 
You're contaminated by American philosophy. You always want to tell people what to do.
i don't understand what American Philosophy is, but if American philosophy is equivalent to the idea of integrity,then I am happy to be contaminated by such philosophy. I don't need to tell what Nkuruzinza should do rather I am reminding him to be consistency with the documents he signed, coherent to the constitution which he swore to defend. That is what integrity demands. Now lets talk about the legitimacy of Nkurunzinza, how do you justify the killings of thousands of Burundians because of his greedy of power. Is such a leader legitimate to rule that country. lets talk the justice of his greedy which caused the death of human rights activists. How can you defend such atrocities committed by this brutal and selfish leader who is being driven by his irrational appetite of power. It is not about America rather it is about the lives of poor Burundians. we don't need to look for excuses to justify his cruelty, Nkuruzinza is responsible for this unrest in Burundi.
 
i don't understand what American Philosophy is, but if American philosophy is equivalent to the idea of integrity,then I am happy to be contaminated by such philosophy. I don't need to tell what Nkuruzinza should do rather I am reminding him to be consistency with the documents he signed, coherent to the constitution which he swore to defend. That is what integrity demands. Now lets talk about the legitimacy of Nkurunzinza, how to you justify the killings of thousands of Burundians because of his greedy of power. Is such a leader legitimate to rule that country. lets talk the justice of his greedy which caused the death of human rights activists. How can you defend such atrocities committed by this brutal and selfish leader who is being driven by his irrational appetite of power. It is not about America rather it is about the lives of poor Burundians. we don't need to look for excuses to justify his cruelty, Nkuruzinza is responsible for this unrest in Burundi.
Hima at work ! Otherwise you could tell about Rwanda's constitution amendement as it allows only one person to be life pesident.
 
Hima at work ! Otherwise you could tell about Rwanda's constitution amendement as it allows only one person to be life pesident.
Unapewa za uso halafu unaandika eti hima at work.
 
Back
Top Bottom