Divide and rule?

Divide and rule?

Hivi huyu jamaa yuko DSM, tulishaweka ahadi atanitembeza Kigali. Kumbe hata Rwanda alikimbia siku nyingi, wakati wa vita.
Hawa kimsingi ni wabongo wenzetu. Mababu zao walipewa uraia na Nyerere miaka ya 60 walipokimbia mapinduzi ya wahutu. Hawa kina mchambawima ni wajukuu tu. Na wengi wao Rwanda hawajawahi kufika, kama wamefika basi wamepita kama watalii, hawana ndugu hata mmoja, hawana chochote kile cha kuwafanya wawe wanyarwanda (wala watutsi for that matter). Siku zote hizo hawakujiita wanyarwanda wala watutsi ila watanzania. Lakini Kagame alipopindua Rwanda ndio ghafla na wao wakaanza kujiona raia wa Rwanda badala ya TZ. Ndipo hapo wakaanza kujisifia "kwao", utadhani wao walikuwa ma TX hapa bongo! We ngoja siku kabila lao wampindue Nkurunzinza ndio hapo utaona ghafla kuna wabongo kibao wanaanza kuitetea burundi wakati siku zote walikuwa wabongo. Kiufupi wanatatizo la kisaikolojia!
 
lol! "wabongowenzetu" na we umo? we mbaguzi kweli ndugu yangu... kweli kabisa ndugu zangu mmewamaliza lakini hata yatima si wanauraia au vp? nshakuambia utaambulia haohao mapepe kina Masunga Maziku ambaye hajuwi kwamba hata waliotoka nje mlikuwa mshawapangia mikakati ya kuwauwa! unajifanya umesahau? mama Victoire samahani kukusumbua lakini kwa faida ya wanajamii naomba ututafsilie kidogo hiki kitambulisho/kipande... nafikiri hivi ningekuwa naandikia ahela, Kweli Kagame kiboko na kamwe wanyarwanda hatutomsahau kama unavyotaka iwe
Cj343_4WUAE1JfR.jpg
 
Hawa kimsingi ni wabongo wenzetu. Mababu zao walipewa uraia na Nyerere miaka ya 60 walipokimbia mapinduzi ya wahutu. Hawa kina mchambawima ni wajukuu tu. Na wengi wao Rwanda hawajawahi kufika, kama wamefika basi wamepita kama watalii, hawana ndugu hata mmoja, hawana chochote kile cha kuwafanya wawe wanyarwanda (wala watutsi for that matter). Siku zote hizo hawakujiita wanyarwanda wala watutsi ila watanzania. Lakini Kagame alipopindua Rwanda ndio ghafla na wao wakaanza kujiona raia wa Rwanda badala ya TZ. Ndipo hapo wakaanza kujisifia "kwao", utadhani wao walikuwa ma TX hapa bongo! We ngoja siku kabila lao wampindue Nkurunzinza ndio hapo utaona ghafla kuna wabongo kibao wanaanza kuitetea burundi wakati siku zote walikuwa wabongo. Kiufupi wanatatizo la kisaikolojia!
You said it all. Hata Mimi nilijua unafiki wao kupitia hili. Rpf ilipoingia madarakani ndipo Kaka zangu na mimi tulipojua baadhi ya Watu katika Wilaya tunayoishi kuwa ni Wanyarwanda, na si Wanyarwanda tu ila Watutsi. Wakawa wakifanya vikao vyao na wengine kurudi Rwanda.

Watu tuliojua ni Watanzania wenzetu, wakipata heshima kama Watanzania wengine ghafla wakajifanya wana mahaba sana na Rwanda kuliko Nchi iliyowahifadhi, kuwapa elimu, uraia na kazi.
 
Hawa kimsingi ni wabongo wenzetu. Mababu zao walipewa uraia na Nyerere miaka ya 60 walipokimbia mapinduzi ya wahutu. Hawa kina mchambawima ni wajukuu tu. Na wengi wao Rwanda hawajawahi kufika, kama wamefika basi wamepita kama watalii, hawana ndugu hata mmoja, hawana chochote kile cha kuwafanya wawe wanyarwanda (wala watutsi for that matter). Siku zote hizo hawakujiita wanyarwanda wala watutsi ila watanzania. Lakini Kagame alipopindua Rwanda ndio ghafla na wao wakaanza kujiona raia wa Rwanda badala ya TZ. Ndipo hapo wakaanza kujisifia "kwao", utadhani wao walikuwa ma TX hapa bongo! We ngoja siku kabila lao wampindue Nkurunzinza ndio hapo utaona ghafla kuna wabongo kibao wanaanza kuitetea burundi wakati siku zote walikuwa wabongo. Kiufupi wanatatizo la kisaikolojia!
Ni heri uraia huo wangepewa makaburu.
 
Duuh kwa hiyo huyu jamaa unakuta kasomeshwa na serikali yetu, halafu kutwa nzima ajifanya serikali ya Kagame ndio imemletea maendeleo. Hayawani mkubwa huyu..
Hao wametunzwa sana na Nchi yetu. Hawakuwahi kubaguliwa hata kidogo.

Wamekula na kuishi kwa amani, lakini leo eti ndiyo Wanyarwanda kushinda wenzao.

Wakati Kagame alipoambiwa na Rais wetu aongee na FDR kupitia vyombo vya habari walimwita Salma Kikwete ni Mhutu. Maana yake ni kuwa Mhutu Mtu wa hovyo.
 
mchambawima1 , anashindwa kukubali kwamba Wanyarwanda wengi walioleta mandeleo Rwanda walikuwa ni Watanzania! Na hata ukionana nao wengi hata kiswahili hawataki kusikia na full kutudharau, lakini kama sisi tungekuwa na roho mbaya haki ya kweli hata wale wasomi waliotumia kodi zetu wasingerudi Rwanda katu.
Au kwa mfano sisi tungekuwa wakimbizi Rwanda unadhani tungesomeshwa bure?
Na hata kama tungesoma bure basi Kagame angetufuata hata huku Tanzania atushughulikie, mambo mengine yako disgusting sana!
Hata siku Rwanda hawatakiwi kugombana na Tanzania, tumewasaidia sana.
 
Hilo la Mama Salma ndiyo nimeliona kabisa!
Sasa nimekutana na madogo fulani wa University of Rwanda wakaniuliza eti mama Salma alikuwa Mhutu nikacheki sana.
Lakni nikawauliza mbona hata Nyerere alikuwa na Asili ya Rwanda?
Viongozi wengi tu wa Tanzania ni Wanyarwanda tena hamsemi hilo?
Ila kwa ubaguzi huu Rwanda inabidi ifanye kazi ya ziada sana kuu-contain.

Kuna kitu nimejifunza duniani,
Huwezi kujenga amani kama hutakubali kama kuna udhaifu sehemu.
Wanyarwanda wengi wanaamini kwamba ukabila umeisha in just one decade! Something which is not true.
Ukabila upo sana, sema wanaozungumza ni wale victims wa genocide. They blame sana lakini wasisahau in the long line kuna Wahutu wema sana na kuna Watutsi wa hovyo kabisa. Mimi hili nimeshuhudia.

Hata bongo hapa tunasema hakuna ukabila lakini kuna vi-elements fulani vipo.
Ni ngumu kuutoa ukabila Rwanda kama watakuwa wanalaumiana tu without a way forward!
mchambawima1 kila mtu akimpinga Kagame basi kwake yeye ni Mhutu au Interahamwe. This is not fair to some of the Hutu. Tena ni dhambi kubwa ya ubaguzi
 
Tena bodi ya mikopo ilimpa mkopo kwa 100%
 
Mkuu, tunapowasema hapa,hatuwasemi kwa kuwachukia kwa utusi wao. Tunawasema kwa tabia zao, ni watu wenye kiburi, dharau na jeuri. Hata wakikukosea ,hawana kuomba msamaha. Nenda Tabora, tena wamejitenga wana kaeneo kao kanaitwa utusini, nenda mpanda, mwese,na kagera wamejaa tele na wanajiita watanzania. Serikalini Tanzania wamejaa tele. Hata mchambawima1, koba na murutongore zamani walijifanya watanzania,wakafaidi haki zote za raia, lakini tangu watusi walipoikamata Rwanda, wamewageuka watanzania hadi wanataka kumuua rais mstaafu Jakaya kikwete. Angalieni wahutu walivyo na shukurani, wamepokelewa Tanzania,wakahifadhiwa vizuri waliporudi kwao mmewasikia wakiwananga watanzania? Tena warundi wa kihutu wanawapenda mno watanzania. Mtanzania akienda Burundi, anapokelewa kwa bashasha na heshima kubwa. Hayo yamethibitishwa na barozi wa Tanzania nchini Burundi. Mliwahi kumsikia barozi wa Tanzania nchini Rwanda akiwakaribisha watanzania kuwekeza kule? Anajua mtacheza patapotea. Shukurani kubwa warundi waliyowaonesha watanzania ni pale PAKA alipotaka kumtumia Nkurunziza kumuua rais Kikwete eti kwakuwa yupo sana karibu nae, Nkurunziza alikataa na mwisho wake akamjulisha kikwete jinsi paka anavyopanga kumdhuru. Hiyo ni kukumbuka wema waliotendewa na watanzania. Mungu ibariki Tanzania, na uwabariki watanzania woooote. Udumu ushirikiano wa kiundugu wa damu kabisa wa Burundi na Tanzania.
 
Hawa kimsingi ni wabongo wenzetu. Mababu zao walipewa uraia na Nyerere miaka ya 60 walipokimbia mapinduzi ya wahutu. Hawa kina mchambawima ni wajukuu tu. Na wengi wao Rwanda hawajawahi kufika, kama wamefika basi wamepita kama watalii, hawana ndugu hata mmoja, hawana chochote kile cha kuwafanya wawe wanyarwanda (wala watutsi for that matter). Siku zote hizo hawakujiita wanyarwanda wala watutsi ila watanzania. Lakini Kagame alipopindua Rwanda ndio ghafla na wao wakaanza kujiona raia wa Rwanda badala ya TZ. Ndipo hapo wakaanza kujisifia "kwao", utadhani wao walikuwa ma TX hapa bongo! We ngoja siku kabila lao wampindue Nkurunzinza ndio hapo utaona ghafla kuna wabongo kibao wanaanza kuitetea burundi wakati siku zote walikuwa wabongo. Kiufupi wanatatizo la kisaikolojia!
Mkuu usisahau kuwa waziri wa Rwanda wa mawasiliano na uchukuzi, ni mtusi aliyekulia, kusoma na kufanya kazi Tanzania. Pia ukumbuke alipoteuliwa kuwa waziri, magezeti mengi ya Tanzania yaliandika "mtanzania awa waziri Rwanda". Kuna mtu mmoja alikuwa benki kuu Tanzania, lakini paka alipochukua nchi jamaa akakimbilia Rwanda akawa mshauri wa paka kwa masuala ya uchumi. Hawa jamaa hawana shukurani kabisa.
 
Mkuu, tunapowasema hapa,hatuwasemi kwa kuwachukia kwa utusi wao. Tunawasema kwa tabia zao, ni watu wenye kiburi, dharau na jeuri. Hata wakikukosea ,hawana kuomba msamaha. Nenda Tabora, tena wamejitenga wana kaeneo kao kanaitwa utusini, nenda mpanda, mwese,na kagera wamejaa tele na wanajiita watanzania. Serikalini Tanzania wamejaa tele. Hata mchambawima1, koba na murutongore zamani walijifanya watanzania,wakafaidi haki zote za raia, lakini tangu watusi walipoikamata Rwanda, wamewageuka watanzania hadi wanataka kumuua rais mstaafu Jakaya kikwete. Angalieni wahutu walivyo na shukurani, wamepokelewa Tanzania,wakahifadhiwa vizuri waliporudi kwao mmewasikia wakiwananga watanzania? Tena warundi wa kihutu wanawapenda mno watanzania. Mtanzania akienda Burundi, anapokelewa kwa bashasha na heshima kubwa. Hayo yamethibitishwa na barozi wa Tanzania nchini Burundi. Mliwahi kumsikia barozi wa Tanzania nchini Rwanda akiwakaribisha watanzania kuwekeza kule? Anajua mtacheza patapotea. Shukurani kubwa warundi waliyowaonesha watanzania ni pale PAKA alipotaka kumtumia Nkurunziza kumuua rais Kikwete eti kwakuwa yupo sana karibu nae, Nkurunziza alikataa na mwisho wake akamjulisha kikwete jinsi paka anavyopanga kumdhuru. Hiyo ni kukumbuka wema waliotendewa na watanzania. Mungu ibariki Tanzania, na uwabariki watanzania woooote. Udumu ushirikiano wa kiundugu wa damu kabisa wa Burundi na Tanzania.

Haaahaa,
Kikwete wetu huyu huyu Mafiosi?
Natamani angefanya vile kipindi cha Mkapa!
 
Haaahaa ila Kagame alikuwa na mawazo finyu sana alipotaka kugombana na Kikwete!
Natamani angefanya vile kipindi cha Mkapa!
Daah alijidanganya sana, nadhani hata yeye anajua hilo
Tatizo la kikwete diplomasia nyiiiiingi, kwa mkapa ingekuwa sekunde tu, Kigali inawaka moto. Lingine paka alilokuwa anajivunia ni jinsi serikali ya Tanzania ilivyojaza watusi serikalini na sehemu nyeti za taifa. Unakumbuka paka alimwambia kikwete kuwa anajua mpaka anapolala ? Kwahiyo alitegemea akilianzisha watusi wenzake wote waliopo jeshini la wananchi ,polisi, magereza, usalama wa taifa watakuwa upande wake. Sasa kikwete alipopata nafasi ya UN kuwachapa m23 ambao kimsingi wale ni wanyarwanda, akaona wacha amuoneshe paka nguvu alizonazo. On the other hand, paka akataka aoneshe umwamba kupitia m23. Kichapo walichopata m23 kimsingi ni kichapo cha paka, from there paka alinywea na serikali yake yote ililowa maji.
 
Yote tisa Kagame alijiamini sana.
Maneno kama yela mtu huwezi kuongea in a Civilized World!
Tena kama raisi wa nchi ndiyo hakutakiwa aongee vile hata kidogo.
Hilo ni Blunder la tatu kama siyo la nne dhidi ya Tanzania.....
Hivi huwa najiulizaga kama sisi Watanzania tungekuwa na roho mbaya hawa majirani zetu wangepona kweli?

Mfano Mzuri nagalia Ethiopia anavyoishi na Majirani zake.
Kenya na Jehuri yake, Sudan zote mbili, Somalia na Eritrea hawampigii kelele hata kidogo.
Majamaaa ni makauzu sana. Sasa kama na sisi tungekuwa hivyo basi hali ingekuwa mbaya sana huu Ukanda.
 
Mkuu, watanzania ni watu waliostaarabika sana, waungwana,wenye upendo, wasiopenda makuu, lakini wenye nguvu sana kiakili na kijeshi. Ndio maana huwa wanasubiri wachokozwe ndio wajibu mapigo. Angalia nduli Idd Amin, alichokoza watanzania wakamdunda, Fashist Pierre Buyoya alitaka kuleta ngebe, akatulizwa, Dictator Paulo Kagame alitaka kuleta upumbavu akafumuliwa malinda, hao ndio watanzania. Huwa hawachokozi mtu, ila ukiwachokoza ndio utakiona cha moto.
 
Hilo la Mama Salma ndiyo nimeliona kabisa!
Sasa nimekutana na madogo fulani wa University of Rwanda wakaniuliza eti mama Salma alikuwa Mhutu nikacheki sana.
Lakni nikawauliza mbona hata Nyerere alikuwa na Asili ya Rwanda?
Viongozi wengi tu wa Tanzania ni Wanyarwanda tena hamsemi hilo?
Ila kwa ubaguzi huu Rwanda inabidi ifanye kazi ya ziada sana kuu-contain.

Kuna kitu nimejifunza duniani,
Huwezi kujenga amani kama hutakubali kama kuna udhaifu sehemu.
Wanyarwanda wengi wanaamini kwamba ukabila umeisha in just one decade! Something which is not true.
Ukabila upo sana, sema wanaozungumza ni wale victims wa genocide. They blame sana lakini wasisahau in the long line kuna Wahutu wema sana na kuna Watutsi wa hovyo kabisa. Mimi hili nimeshuhudia.

Hata bongo hapa tunasema hakuna ukabila lakini kuna vi-elements fulani vipo.
Ni ngumu kuutoa ukabila Rwanda kama watakuwa wanalaumiana tu without a way forward!
mchambawima1 kila mtu akimpinga Kagame basi kwake yeye ni Mhutu au Interahamwe. This is not fair to some of the Hutu. Tena ni dhambi kubwa ya ubaguzi
lol! jana na leo naona INTERAHAMWE mmekuja in FULL-FORCE... awesome! UINTERAHAMWE ushageuka kuwa msemo duniani unaomaanisha watu wenye mawazo ya kubomoa na kusengenya kama nyie! ningefurahi kama ungenionyesha post hata moja inayosema eti WAHUTU ni INTERAHAMWE? we ni moja wa wanaotuharibia jamii sana! kumaliza ukabila inahitaji mchango kutoka kwetu sote... sasa jMali mtoto wake akimkosea akamwambia nimjinga au anaroho mbaya kama watutsi au wahutu unaona tutafika sehemu? we leta hoja za kujenga, sio muendelezo wa huo ukabila unaojifanya kuuponda wakati UNAFIKI mtupu!
 
Heeheee!
Nawaharibiaje jamii yenu wakati mimi nakaa Bongo?
Na hilo la kusema Wahutu ni Interahamwe unalikataa kweli mchambawima1 ?
 
lol! jana na leo naona INTERAHAMWE mmekuja in FULL-FORCE... awesome! UINTERAHAMWE ushageuka kuwa msemo duniani unaomaanisha watu wenye mawazo ya kubomoa na kusengenya kama nyie! ningefurahi kama ungenionyesha post hata moja inayosema eti WAHUTU ni INTERAHAMWE? we ni moja wa wanaotuharibia jamii sana! kumaliza ukabila inahitaji mchango kutoka kwetu sote... sasa jMali mtoto wake akimkosea akamwambia nimjinga au anaroho mbaya kama watutsi au wahutu unaona tutafika sehemu? we leta hoja za kujenga, sio muendelezo wa huo ukabila unaojifanya kuuponda wakati UNAFIKI mtupu!
Sasa tuambie, kama interahamwe hammaanishi wahutu, tutajie majina ya watusi manne tu waliopelekwa ictr kushitakiwa kwa sababu ya genicide.
 
OMG! IMBONERAKURE kumbe fujo zote mnazifanya kwa sababu Wahutu peke yao ndio waliopelekwa Arusha? hii ni ya mwaka! kule hawajapelekwa wahutu wala watutsi... wamepelekwa wa harifu(X-tremist) sasa kama bado kuna x-tremist wakitutsi waliojificha na unajuwa walipo tafadhali tufahamishe! ku debate na nyie kazi sana kwani sera zenu ni ukabila tu mpaka mnawalewesha watu bila kujuwa hebu ona Masunga Maziku na MALCOM LUMUMBA chali! nyie bana...
 
Back
Top Bottom