[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,mimi sio dwanzi wala dimwit. Mimi ni vyuma, my real name sio hayo majina ya kuchonga. Back to the topic, sijafanya kosa lolote kumuomba huyo mnyamurenge mwenzio kutupa analyses ya paka kama alivyotupatia ya nkurunziza. Nkurunziza hajabadilisha katiba ili atawale milele, yupo pale kwa mujibu wa katiba na mkataba wa amani wa Arusha. Hata wewe unalijua hilo. Paka amebadilisha katiba ili atawale milele. Kafanya hivyo ili kukwepa mkono wa sheria kama ule uliomwangukia Habre. Kwa kujua kuwa hatendi haki, siku hizi havai suti wala nguo za kawaida, anavaa mabulletproof nadhani hata kuoga anaoga nayo. Hivi, ni kwa nini tawala za kitusi zoooote zina matatizo? What is real wrong with these people? Buyoya alipokuwa rais, alitaka kupigana na Tanzania chini ya rais Mkapa, Paka ni rais,alitaka kumuua rais wa Tanzania Jakaya Kikwete, Museveni kila siku ni vita mara kaingia Congo mara kaenda Sudani mara CAR eti anamsaka Kony, cha ajabu hadi leo hajampata. Burundi chini ya Nkurunziza, majirani wanalala unono, Rwanda chini ya paka majirani roho mkononi, ilipokuwa chini ya Habyarimana amani ilitawala. Watusi(baadhi) ni shida hapa ulimwenguni. Dunia itakuwa salama chini ya wabantu. Wanyarwanda wapenda haki na amani, mchapeni paka, mkimkamata mfanyeni kama Chadi walivyomfanya Habre kariba ya paka.