Ndio maana tunaiambia dunia kuwa, kwa mujibu wa sera za Rwanda, interahamwe ni wahutu. Halafu, genocidire ni wahutu hiyo ndio sera ya watusi wa Rwanda na Burundi. Kwa kuwa umenitaka niwataje watusi waliofanya genocide, nitamtaja mmoja tu ili kuweka ushahidi wa niyasemayo. Robert Kajuga ni mtusi na alishiriki tena kwa kuongoza mauaji ya kimbari. Nafahamu unawajua watusi wengi tu walioshiriki mauaji wakati wa vita na baada ya vita lakini wote ni senior officers in your government. Acheni kutufanya wote hatujui historia wala muyatendayo. Watusi ni wakabila na wakabila ni watusi.