CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Mi nafikifiri ni kwa watumiaji wote wa Mtandao wa Tigo. Mie napata Ujumbe huu: Note: You have active diverts.... Lakini sijapata malalamiko yoyote toka kwa ninaowapigia ama wanaonipigia.
charminglady....can i talk to you please?Mi nafikifiri ni kwa watumiaji wote wa Mtandao wa Tigi. Mie napata Ujumbe huu: Note: You have active diverts.... Lakini sijapata malalamiko yoyote toka kwa ninaowapigia ama wanaonipigia.
Mi nafikifiri ni kwa watumiaji wote wa Mtandao wa Tigi. Mie napata Ujumbe huu: Note: You have active diverts.... Lakini sijapata malalamiko yoyote toka kwa ninaowapigia ama wanaonipigia.
Ndugu naomba mswada wenu, nawezaje kublock number kwenye simu za Nokia??
Bila shaka tatizo hilo limewakumba watumiaji wa NOKIA nchi nzima.Hili tatizo ninalo kwa siku kadhaa sasa. Hofu yangu ikawa kwamba isije ikawa maagizo ya Polisi na DK. Kashilillah ya kuwanasa waliomtukana Mama Makinda ndo yameanzia kwangu. Kumbe tupo wengi, sasa napumua vizuri!!!
mkuu wakati mwingine hutokea ikiwa umere-new number baada ya wali kupotea au kuharibika!Mkuu asante kwa maelezo yako, ila bado kuna tatizo.
Nikisha bonyeza ok (Kwangu ok haionekani ila nabonyeza sehemu ya kupiga simu) kwa mujibu wa maelezo yako hapo juu inaniambia Divert cancelled. Ila nikipiga namba ya mtu yoyote bado inaniandikia ujumbe ule ule "Note: active incoming calls diverts" Nifanyeje sasa ili kuondoa tatizo hili kabisa.
je una uhakika hakuna mtu mwingine anaye enjoy mawasiliano yako!!!Mi nafikifiri ni kwa watumiaji wote wa Mtandao wa Tigo. Mie napata Ujumbe huu: Note: You have active diverts.... Lakini sijapata malalamiko yoyote toka kwa ninaowapigia ama wanaonipigia.
Kwani huwa huna call waiting wewe? Yaani mtu akikupigia wakati unaongea na mwingine yeye anapata simu yako inaitaKwenye simu yangu ya nokia ..tokea jana kila nikipiga simu inaandika ..note:you have active diverts..sasa sijui imetokana na nini halafu hata na wenzangu hapa wamepata hilo tatizo.Je kuna namna ya kuliondoa.
dada nakuheshimu kwani nilikupigia kura ila sikufuatiloia nani alishinda nadhani ukitumia formular niliyoweka ina cancel all active devert sasa sijui kwa heshima uliyo nayo watu wako serious wana matatizo lakini wewe unatoa negative approach ok nisiku hukumu labda kuna simu sina respnd hivyo lakini kama unapotosha makusudi plse come down ila kama kwako ni kweli ok hata mm ntasubiri wataalamu zaidi
kama umeweka antivirus kama kaspersky au netqin tumia blacklist kumblock mtu
Huyo special agent kweli ni special , sasa ni nani huyu aliyetufanyia haya ili tuweze kushughulika naye ? Japo kwa sms tu ili kumkomesha !
Ila naomba niulize..kweli kuondoa hizo 'diverts' imekua ishu?
Mtu huwezi ukaingia kwenye settings za simu yako, iwe nokia, blackberry, iphone, mchina etc ukabadilisha call settings??
Watu mnajua kupiga na ku2ma msg tu..
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
hivi athari yake ni nini nilikuwa naona sikujali.formular niliyotoa ni ya kucancell all devert call otherwize ni setting zingine za cm yako kwa ushaurii labda sasa usome manual ya cm yako but that formular applies to all handset that has been diverted.dats all about me
nahisi hivyo mana na yangu ni nokia.Bila shaka tatizo hilo limewakumba watumiaji wa NOKIA nchi nzima.
Ila naomba niulize..kweli kuondoa hizo 'diverts' imekua ishu?
Mtu huwezi ukaingia kwenye settings za simu yako, iwe nokia, blackberry, iphone, mchina etc ukabadilisha call settings??
Watu mnajua kupiga na ku2ma msg tu..
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
je una uhakika hakuna mtu mwingine anaye enjoy mawasiliano yako!!!
du hiyo system ipo na bongo!na inafanyaje kazi!... Leo kwa vile ni siku ya mahusiano ! Ni siku nzuri ya kufatilia' kama unahisi mwezio siyo mwaminifu, kuna system inaitwa
"calls N' sms tracking" kwa kutumia GPS.