Diverted calls kwenye simu

Diverted calls kwenye simu

mbinu ya special agent kwangu imekubali bila kigugumizi bali natumia Nokia E63 , sasa kwenye zile za kichina sielewi kama zinakubali .
 
kama umeweka antivirus kama kaspersky au netqin tumia blacklist kumblock mtu

netqin vision gan mkuu cz nijuavyo mm inayoblock ni kaspersky nayo ina b installed for symbian tu!
 
Tokea juzi simu yangu ya nokia kila nikipiga inaandika NOTE:YOU HAVE ACTIVE DIVERTS..wakti sijawahi kui divertr,,nimejaribu kui cancel lakini haitoki nimepiga customer care wakasema haina tatizo..ndo simu za nokia zilivyo..nikamwambia kua nina nokia mda mrefu na cjawahi kuiona ikitokea akasema hajui..vp wadau ni mtandao au ni nini hasa.

Kama simu yako ni smart fanya ku resert
 
netqin vision gan mkuu cz nijuavyo mm inayoblock ni kaspersky nayo ina b installed for symbian tu!
sina uhakika na version but its through mobile guard..
 
Attachments

  • shot_035_2013_02_15.png
    shot_035_2013_02_15.png
    61.5 KB · Views: 51
Tokea juzi simu yangu ya nokia kila nikipiga inaandika NOTE:YOU HAVE ACTIVE DIVERTS..wakti sijawahi kui divertr,,nimejaribu kui cancel lakini haitoki nimepiga customer care wakasema haina tatizo..ndo simu za nokia zilivyo..nikamwambia kua nina nokia mda mrefu na cjawahi kuiona ikitokea akasema hajui..vp wadau ni mtandao au ni nini hasa.

Pia nina tatizo hili kwenye simu yangu ya nokia. surprisingly hali hii imeanza recently, nimejaribu ku-cancellakini inaendelea tu.
 
Hili tatizo ninalo kwa siku kadhaa sasa. Hofu yangu ikawa kwamba isije ikawa maagizo ya Polisi na DK. Kashilillah ya kuwanasa waliomtukana Mama Makinda ndo yameanzia kwangu. Kumbe tupo wengi, sasa napumua vizuri!!!
Usiniambie kulikuwa na shinikizo la kukamata hao watu!!!! Juzi mwenzetu kaja kuchukuliwa na police kwa case hiyohiyo ya kumtumia muheshimiwa msg. Kweli inahitaji umakini sasa.
 
Hilo sio tatizo ni huduma ya simu,watumiaji wa mtandao wa airtel hiyo huduma ipo siku nyingi,kama ulikuwa umezima simu yako,na ukawa unapigiwa hupatikani,ukiwasha tu yule alie kuwa amekupigia anapata ujumbe kuwa uliyekuwa umempiga sasa anapatikana.
 
Sio kwamba hiyo divert inasaidia kukuambia nani alikupigia wakati ulikuwa haupatikani hewani?
 
formular niliyotoa ni ya kucancell all devert call otherwize ni setting zingine za cm yako kwa ushaurii labda sasa usome manual ya cm yako but that formular applies to all handset that has been diverted.dats all about me

...You have done your job.
 
Back
Top Bottom