Umeongea point mkuu, kutumia maatifa au ujizi anaopaya huku sio vibaya kwani ndio lengo la jukwaa hili kushare maujuzi na maufahamu. Lkn asijifanye yeye ndio mwenye innovations hizoHatukatai ila maoni yetu kuwa angekuwa anataja reference ama source ya hizo stories au mada lengo ni kuappreciate kazi za watu.Sio yeye aonekane expert wa maswala ya MMU.Radio station ni taasisi Na Jamii Forums pia.Kwa hiyo JF needs to be recognized its contributions to the society that what am trying to say.