Diva the Bawse vs Wasafi Media; Mnyukano, watoleana Siri

Diva the Bawse vs Wasafi Media; Mnyukano, watoleana Siri

Hivi ile siku waliyogombana na Mondi kwenye redio kipindi yupo Clouds wewe ulikua wapi? Unakumbuka jinsi ilivyokua mpaka wakaanza kugombana On Air huku wasikilizaji tunasikia kinachoendelea? Kipindi hicho usiposikiliza Clouds wewe sio mjanja unaonekana wa kawaida tu ila muda unakimbia jamani
Dah mkuu nakumbuka way back nipo tabata aroma hapo Kwa bro, mkuu ilikua ni clouds fm tangu nahamia pale mpaka naondoka hajawahi badilishwa stesheni, jamaa walitisha sana
 
Lakini Kuna kipindi walikua wamefunga ofisi, kupisha KUHAMA na kufanya marekebisho mbalimbali, sijui ime kuaje hawalipwi binafsi sijajua mkataba wao unasema vipi ofisi ikisimama
Binafsi hii nashindwa kuamini hivi ofisi gani inaruhusu mfanyakazi wake kutolipwa tangu Jan mpaka Dec huo ni mwaka ujue? Hata ukiwa unafanya kazi kimbiji company limited huwezi kukuta hivyo
 
Alikua sawa kuondoka Kwa sababu zake ,ila kumhusisha marehemu dida sio sawa, hawezi jitetea huyo aachwe apumzike
Wangapi wameondoka kwenye makampuni ila hawajaongea shi!t zozote kuhusu kampuni na staffs? Ndiyo hiyo matatizo ya afya ya akili ,jambo dogo tu analipuka....kulikuwa na haja gani ya kusema kwamba hawajalipwa miezi 7 mishahara? Si angesepa tu ,yeye si anajitapa anaingiza mahela kibao kwa mwezi kwenye deals zake za nje?
 
Hata kule anapo enda watamuogopa
 
Diva ana shida ya akili.
Lakini huyu Diva si ni mtoto wa Jamal Malinzi?? Mbona Malinzi kitambo tu alikua na mkwanja mrefu?? Iweje huyu Lugumi ndio ampige tafu ?? Sijaelewa hapo, ila mdada ana majigambo sana nafikiri ndio kunakomfanya anachukiwa na watu wengi. Kama hii kuacha kazi Wasafi, angepiga kimya kimya tu wala haya yote yasingetokea mitandaoni.
 
Leo ndio nimejua hizi media house zinanjaa SANA

Jana na Leo nilikuwa nasikiliza kipindi cha michezo kutoka CROW FM sasa kuna shabik Yao dereva bajaji anaitwa BROOK TIGER kama sijakosea huwa anawatembelea mara kwa mara anawapa 10000/- Kila mmoja sasa mchambuz anaitwa JEF LEYA akasema Leo atakuja huyo shabik wakaanza kufuraj nakusema Bora aje maanawamechoka SANA

Leo mtangazaj JUMA AYO anamwambia shabik Toka south afrika amtumie mtangazaj mwenzake JESCA MHAGAMA pesa Binti alisita baadaye akakubal

Sasa wanawalazmisha hata mashabik wawachangie pesa inaonekana huko n hal mbaya sana

Kutuma meseji ya maon kwenye kipindi haisomwi had utume hela
 
Dah! 🤣🤣🤣🤣🤣 Ndio tumefikia huku
 
Huyo Diva tokea mwez oct kwenye zile kampem zao nilishamuona hamnazo.

Lolote limkute.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom