PERAMIHO YETU
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 6,289
- 17,320
Hv waloshaachana na yule maalim
Siku hiz namuona kule kwa lamata kupitia jua kali
Siku hiz namuona kule kwa lamata kupitia jua kali
Kanadaiwa Kodi kana hali ngumu kanaleta stress zake hapa, DJ mpigie nyimbo ya diamond, matatizo yatapitaHajui km hili jukwaa la celebrities
🤣🤣🤣Kanadaiwa Kodi kana hali ngumu kanaleta stress zake hapa, DJ mpigie nyimbo ya diamond, matatizo yatapita
Inasikitisha aliwahi dai hawezi ishi goba, kumbe anako ishi kasaidiwa sio poa ishi maisha feki ila usibeze wengine piga mishe zakoAtapata shida sehemu nyingine kupata kazi maana wameshamjua ni lopolopo hata alivyoondoka Clouds ulikuwa mtiti history yake sio nzuri akihama sehemu kwa hicho alichokifanya imemuharibia zaidi na alivyokuwa mjinga anahisi labda anaharibia taasisi kumbe ni mpaka yeye mwenyewe Brandi yake imechafuka kwa ujinga wake mwenyewe watu wamejua hayo maisha anayotamba insta kujifanya ni wa expensive kumbe ni fake
Labda sio Bongo mkuu,Atapata shida sehemu nyingine kupata kazi maana wameshamjua ni lopolopo hata alivyoondoka Clouds ulikuwa mtiti history yake sio nzuri akihama sehemu kwa hicho alichokifanya imemuharibia zaidi na alivyokuwa mjinga anahisi labda anaharibia taasisi kumbe ni mpaka yeye mwenyewe Brandi yake imechafuka kwa ujinga wake mwenyewe watu wamejua hayo maisha anayotamba insta kujifanya ni wa expensive kumbe ni fake
Sawa Bro Alex umesikika daah huyo manzi kapiga na Lugumi au mimi ndio sijaelewa?Inasikitisha aliwahi dai hawezi ishi goba, kumbe anako ishi kasaidiwa sio poa ishi maisha feki ila usibeze wengine piga mishe zako
Hivi ile siku waliyogombana na Mondi kwenye redio kipindi yupo Clouds wewe ulikua wapi? Unakumbuka jinsi ilivyokua mpaka wakaanza kugombana On Air huku wasikilizaji tunasikia kinachoendelea? Kipindi hicho usiposikiliza Clouds wewe sio mjanja unaonekana wa kawaida tu ila muda unakimbia jamaniAtapata shida sehemu nyingine kupata kazi maana wameshamjua ni lopolopo hata alivyoondoka Clouds ulikuwa mtiti history yake sio nzuri akihama sehemu kwa hicho alichokifanya imemuharibia zaidi na alivyokuwa mjinga anahisi labda anaharibia taasisi kumbe ni mpaka yeye mwenyewe Brandi yake imechafuka kwa ujinga wake mwenyewe watu wamejua hayo maisha anayotamba insta kujifanya ni wa expensive kumbe ni fake
Haja sema ye kadai alikua anasaidiwa tu Kodi, mjini Kuna vya Bure? Hahahahaaa labda mbeleni tutafafanuliwaSawa Bro Alex umesikika daah huyo manzi kapiga na Lugumi au mimi ndio sijaelewa?
Sema Wazazi wa kibongo Kuna Muda Wanashindwa Kubalance Upendo Kwa WatotoKwani Diva ss hivi yuko wapi kikazi? Maisha ya umbeya makazine, ofisini siyo kabisa yakisanuka ni aibu kubwa
Pumbaaf hama hapo nyumbaniSema Wazazi wa kibongo Kuna Muda Wanashindwa Kubalance Upendo Kwa Watoto
Yaaani Tangu Madogo zangu Wamerudi likizo Zinapikwa Pilau na Chai za Maziwa Deile
Nikibaki Mwenyewe kila siku Dagaa😭
Hilo somo linaonekana wengi tunafeli kila siku.Don't trust people who tell you other people's secrets,
It's not loyalty,It's a warning,
The person who tells you about others will tell others about you.
Ila ni kweli ndugu yangu mtu kama Pierre Liquid alikuwa maarufu kwasababu tu ya pombe na akapewa platform ya kuigiza mpaka movie ila nashangaa jambo moja kwa jinsi alivyo Diva hivi inakuaje mwanaume unadate na mwanamke kama huyu Yuko fake, hajui kupika, ana mdomo mchafu, sura haina mvuto, shape Hana, akili hazimo, jeuri n.kLabda sio Bongo mkuu,
Manara alitoka Simba kwa ogomvi na kumtukana Mo ila akapata kazi Yanga!
Angefungua podcastKesha acha kazi alidai anajiajiri, sahivi ana dai atasikika kwenye kituo jingine, haeleweki mkuu
Hili tatizo liko sana Tanzania. Watu wakikutana siku moja tayari wanajiita ni marafiki na kuanza kupeana ya ndani. Majuu unaweza kufanya kazi sehemu moja na mtu kwa miaka 10 lakini usijue nyumbani kwake na maisha yake kwa undani. Sisi nadhani huwa tunachanganya ''watu wenye changamoto zinazofanana kimaisha'' na urafiki. Mkisota kwenye shida inayofanana kwa pamoja tayari mnajiona ni marafiki. Mmoja akipata na ile common problem ikiondoka ndiyo mnajua kumbe hamkuwa marafiki bali shida ndizo ziliwaunganishaSomo ni lilelile mfanyakazi mwenzako sio rafiki yako
Wengi wanashindwa kutofautisha kati ya rafiki na mfanyakazi mwenzake
Kilichowakutanisha ni kazi, piga kazi epuka ukaribu nao
Piga kazi epuka vikundi vikundi wakati wa mapumziko au mlo
Kipenga cha kurudi nyumbani kikilia wahi nyumbani kwako
Kazini ni sehemu yenye majungu, unafiki, husuda, wivu na roho mbaya
Alikua sawa kuondoka Kwa sababu zake ,ila kumhusisha marehemu dida sio sawa, hawezi jitetea huyo aachwe apumzikeDiva ana shida ya akili.