Diva: Siwezi kuingia kwenye mahusiano na mwanaume asiyejua kuongea kingereza

Wasalaam wana jamvi.

________________________________________

Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Diva The Bosslady amefunguka kwa kudai kuwa hawezi kudate na mwanaume ambaye hajui kuongea kingereza kwa kuwa yeye katika maisha yake huongea Kiingereza zaidi kuliko Kiswahili.

Akiongea na waandishi wiki hii, Diva amedai wanaume ambao amewahi kutokana nao wanazungumza lugha hiyo ambayo amedai inamvutia sana. "Sipendi mwanaume ambaye hajui Kiingereza, napenda kudate na mwanaume ambaye anajua Kiingereza," alisema Diva. "Yaani imetulia na inapendeza kwa sababu siyo local local, wapo ambao waliwahi kunitokea lakini baada ya kujua hawajui kingereza nikawatosa," Alisema wanaume wake wengi anakutana nao kwa mara ya kwanza kupitia kipindi chake cha Ala za Roho kwa kuwa ndio sehemu ambayo atakutana na watu mbalimbali.

Mtangazaji huyo ambaye pia ni muimbaji wa muziki kwa sasa anatoka kimapenzi na muimbaji 'Heri Muziki'.

Kama amezidi miaka 30 mwambie ahache mbwembwe maana hana chake tena hapo, maana watoto wabichiiii wanakuja kwa kas na mwanamke anavyo zidi kuongeza umri na thaman yake inapotea kama akupata mapenz ya kweli ili alipata mapenzi ya lugha mwisho wa siku ajikute anajiboza mwenyewe kwa kibur chake na kuwa shahid wa ndoa za marafik zake
 
Hahahahahahahah huyu nae anaweza kutamba kwa wenzie na kuwambia "Mimi ni binadamu si mwenzenu tena " eti kwa vile amevaa nguo vinazovaliwa na binadamu lakini amesahau kuwa mavazi tu hayawezi kumpa sifa ya kuwa binadamu japo kuna wanadamu wanajiita Simba lakini pamoja na kuitwa Simba jina aliwezi kumfanya kuwa Simba au kuwa na tabia za Simba
TMPDOODLE1487270986234.jpg
 
BBC siyo?
BBC world service upande was Radio ili wakuchukue, sio tu kiingereza hata content matters.
Allan Kasuja,Steven Sucker etc. Hawaongei hiki cha you are so sweet,I am delighted,sapraiiiizi. In terms za uchumi,siasa. Na hata vipindi vyao vilivyo social kama OUTLOOK wanazungumza kwa namna ya kipekee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom