Diva na Diaomond wajiachia pamoja

Diva na Diaomond wajiachia pamoja

dem siimpendi mbya, ila sauti tabia za Kitanga nazizia, song yao imepaiswa na technolojia
 
Huu wimbo ni kama vile kaimba Diamond na Ray C. Ila wanaupa promo sana hapo Clouds Entertainment ila hauna jipya.
Sema Diva anapenda kupambwa japo wimbo wenyewe kabebwa na Diamond.
 
hamna jipya ajipange! simpendiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Usinge sema diva mi ningejua ni moja ya remix za ray c. Yani hauna hata mvuto, anafikiri utangazaji ndo uimbaji?........
 
Tabu tupu kwenye industry ya Bongo fleva basi kupewa promo kwenye Media anajiona kamaliza.whatever b'cause kila mmoja anapenda anavyoishi.
 
Back
Top Bottom