Diva anaswa akila denda na dogo aliyemzidi umri

Wametaka kufanana na dogo flani anaitwa [/b]HERI MUZIKI ameimba wimbo unaitwa nakukumbukaga......
Atakayeweza alete video yake hapa tuoanishe
 
Siju akitokea Geneous akatoa formula' hizi
1.kumwezesha mwanamke kujua nini anahitaji na nn haitaj atakuwa kawasaidia sana
2.ya kutuwezesha wanaume kuelewa akil za hawa viumbe atakuwa ametusaidia sana !,
mwanamke kumwelewa ni ishu sana haswa huyu bibi wa mawingu yan leo anawapaka afu kesho wanamla mate!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom